Umoja wa Ulaya (EU) ujue Tanzania ni Taifa huru kwa 100%

Hama na ichi yako mkaishi sayari yenu. Unless otherwise they will fix you.
 
Badala uwalaumu watawala (mabwana zako wanaokulisha) kwa kutozingatia utawala bora na demokrasia nchini unawalaumu watu wanaokutaka uzingatie vigezo vigezo hivyo kwa raia unawaongoza ili kupata misaada hiyo?

Kama tz ni nchi huru kama unavyojitapa si ingekuwa inaikataa hiyo misaada toka zamani, misaada (yenye masharti) ya nn sasa wakati wewe ni nchi huru?
 
Habari za asubui mh pole×2.
 
Mbona hujaandika pia waache kupokea Madawa na chanjo za misaada,miradi ya kilimo , ujenzi wa mashule na zana za kufundishia na kadhalika?
 
Hatuwezi ishi bila misaada? Ama kweli wazungu wamekuoa
Hatuwezi kuishi bila misaada ya EU na EU inaweza kuishi bila biashara na chochote kutoka Tanzania.

Jiandae kuandika uzi mwingine maana kuna list ya Icc itakuja siku si nyingi kilaza wa Lumumba wewe
 
Dah yaani umeandika ujinga huwa unawaza kwa kutumia mku.ndu ww..

By the way 27m Euro zirudishwe kwa wenyewe hayo mengine hayanihusu

Taifa la wajinga na matakataka ninyi
 
Hii serikali dhalimu ina watetezi wa kiwango cha chini sana. Kwa hoja tatu kati ya lundo la utopolo ulloweka;
1.Tanzania ina aina yake ya demokrasia, ni sawa. Hii ya kuingiza mabegi kura zimeshapigwa mlikubaliana na nani? Mbona upande wa pili haukupewa nafasi ya kuingiza mabegi ya kura kama CCM? Hata vituo vya kujumlishia kura tu watu walikamatwa?
2.Hamtaki misaada yao maana mnawapa 1000/- wao wanawapa 250/-. Hizi hesabu sijui umezitoa kwa nani? Mbona mnapopata misaada hiyo media zote za chama chenu na kuwaita haohao marafiki wa maendeleo/Wanaume? Wakiwakosoa wanabadilika kuwa Mabeberu, sijui Beberu ni jike?
3.Soko la Ulaya ni 12% tu ya soko la Dunia. Hiki ni kichekesho. Hivi kama ABDALLA ananunua 10% ya mpunga kijijini lakini mpunga wako wewe ananunua 80%, huyo kwako bado ni 10%?
Mnapokubali kupokea kuweni waungwana, mnapokosea kubalini kukosolewa maana kwa utashi wenu mlisaini mikataba ya kimataifa ambayo Leo mnaivunja makusudi.
 
Watoto sio wa jirani ni wa Jamii nzima thus hata Kama ni wako ukiwatesa ukiwanyima haki zao lazima Jamii itachukua hatua. Maana haki ikipotea Jamii ndio itaingia gharama za kuwahudumia.
 
Wenzetu ukiwa uncivilized, uneducated and not matured enough upewi lesseni ya kuendesha gari ili kuepuka migogoro
 

Kaka uhuru unaanzia kwenye kujimudu ki uchumi, Yani wewe mwenyewe kama hauna hela na unategemea mke wako ujue uhuru hauna!

September hii tumekula euro za watu na wanatusimanga nazo, huo uhuru tunatoka nao wapi sasa? Kuwahi na akili nyie watu na mjitahidi kuficha ujinga wenu utawasaidia baadaye!

Pesa una nguvu, uhuru sio kutembea mtaa ni, Uhuru ni kumtegemea mtu bila fedha, we cant move an inch bila Hawa wazungu mbali watu kana; Yani wakifunga tu bidhaa Zao tunaanza tafutana huku!
 
Rudisheni pesa za Covid,si hakuna covid hapa nchini?mnajifanya wajanja wakati mnatembeza bakuli tena kwa sababu za uongo uongo
 
Ni sawa ulivyoeleza ila nami najiuliza kwanini tuna mwakilishi wao hapa nchini huku tukijua ni taasisi ya Kitapeli. Pili matapeli wanawezaje wakatupatia misaada ikiwemo zile Euro za Covid-19 ambazo hazijulikani zilipo.
 
Hatuwezi kuishi bila misaada ya EU na EU inaweza kuishi bila biashara na chochote kutoka Tanzania.

Jiandae kuandika uzi mwingine maana kuna list ya Icc itakuja siku si nyingi kilaza wa Lumumba wewe
Familia yako ndio inaweza kuishi bila misaada ya EU.

Kwanza chadema hamuoni aibu kulilia misaada?

Mnatuaibisha wanaume
 
Tanzania is a sovereign state politically.

Ila tuna jukumu la kujenga economic strategic muscles ili tuweze kuwa independent financially.

Kwa maelezo ya ZZK kupitia ukurasa wa twitter
EU walisaini kutupa €626 mil in 7 years. Kwa mwaka ni msaada wa kama bil 245.

Uwezo wa serikali kukusanya kodi ni wastani wa Tril 1.2 kwa mwezi au zaidi ya Tril 14.4; mzungu anachangia bil 245 na anatusimanga
.

Hapa ndipo tunahitaji Waziri mpango asiwe na fikra ya kodi iongezeke; ila ni namna gani wizara ya fedha inaweza kutengeneza financial leverage ili kusisimua uwekezaji unaokuza uzalishaji wa ndani hasa kwenye production and manufacturing kwa products tunazo import (mafuta ya kula, nyama, samaki, sukari, ngano, products za pamba, products za ngozi yote haya yanaweza kuwa locally produced).
Agro inputs zizalishwe ndani; medical devices zizalishwe ndani.

Inawezekana biashara za ndani zika-offset hiyo deficit ya EU ambayo wanatusimanga.

Mhe. Rais JPM anahitaji waziri wa uwekezaji ambayo yuko very proactive and innovative; na balozi zetu ziachane na kuja na taarifa za exports of "raw agri. products" kama China wanasema wanataka soy beans.

Tuwe na waambata wenye ufahamu wa kumshauri vema balozi aje na jibu ni finished product ipi ya soy beans ili tukiuza tunapata hela ya mwisho.

Tukifanya hivyo kwenye kahawa, pamba, korosho, chai, katani, products za mahindi.

Tusiwe na washauri wenye kufikiri kama wazungu; wataona hatuwezi. Tuwe na washauri wanaofikiri kama emerging triggers countries; Tz inaweza kuishi bika kutembeza "bakuli"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…