Umoja wa Ulaya (EU) ujue Tanzania ni Taifa huru kwa 100%

Kuweka namba za simu mmeona isiwe nongwa sasa ni kwa barua pepe.

Njaa hizi? Kazi kweli kweli.

Kipi katika tuhuma za EU si kweli?

Kwa taarifa yako tuhuma na hatua za EU zinaungwa mkono vilivyo na watanzania wengi tu hata kama wewe na wenzio hammo!
Usiwasemee Watanzania
Jisemee wewe na wapinga maendeleo wenzako
 
Hakuna taifa lisilotegemea mataifa mengine duniani. Maka**** mnaendelea kujidanganya kua hilo linawezekana hahaha, vilaza mmejaa sana tanzania
 
Na ndiyo maana mataifa yenye akili hufikia mpaka hatua ya kuungana kama vile EU au NATO.Jiulize kwa nini Marekani isijitape kuwa ipo huru lakini badala yake inaenda kuungana na nchi za mbali za huko Ulaya kuunda NATO.MATAGA ni mandondocha,unaweza kufikiri katika vichwa vyao wana funza badala ya ubongo!
 
Na ndiyo maana mataifa yenye akili hufukia mpaka hatua ya kuungana kama vile EU au NATO
Ndiyo hivyo, hata Marekani wanaopambana na china mwisho wa siku wanategemea soko lake, china vilevile inategemea soko la US. Siku zote kelele zipo ila wote ukweli unabaki palepale huwezi simama peke yako. For some reason Tanzania wanajipa kichwa kua wanaweza gombana na mataifa haya na wakashinda hahaha hii sio David kumuua Goliath, hii ni sisimizi kuzuia rocket isipae, probability ya ushindi zero.
 
Watashindwa kwa kishindo kama kile kishindo chao cha ushindi wao wa kuiba kura
 
Na Mwandishi Wetu

Zipo taarifa zinasambaa kwamba bunge la Jumuiya ya ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada inayokadiriwa kufikia shilingi trillion 1.6 kwa muda wa miaka 6 kutoka 2014-2020 ambazo ni wastani wa shilingi bilion 267 kwa mwaka. Kiwango hiki cha fedha ni kidogo mno kulika heshima ya uhuru wetu kama nchi.

Ni muhimu jumuiya ya ulaya ikajua:-

1) Haki na Demokrasia:

Kama ambavyo Tanzania haina mamlaka ya kuwatafsiria watu wa Ulaya haki na demokrasia zao, halikadhalika watu wa Ulaya hawana madaraka ya kuwatafsiria Watanzania haki na demokrasia zao. Tanzania ni Taifa huru kama ilivyo hizo nchi za Jumuiya ya Umoja wa Ulaya.

2) Hiyo inayodaiwa kuwa ni misaada haikuwa misaada:

Mtu akikupora shilingi 1,000 kwa mfano, halafu akaamua kukurudishia shilingi 250, hapo hajakupa msaada wowote.

Kwa miaka nenda rudi mataifa na mashirika ya Ulaya na nchi zingine zinazojiita zilizoendelea, walilazimisha Tanzania na nchi za Afrika kwa ujumla kuwapa wawekezaji wao kitu kilichoitwa "tax holidays" yaani misamaha ya kulipa kodi. Na hii ilikuwa ni uhalalishaji wa wizi, "tax holidays are a legal fraud."

Kampuni moja imewahi kufanya biashara Tanzania kwa miaka 18 bila kulipa kodi kwa madai ya kuwa ilikuwa haipati faida. Hiyo kweli inaingia akilini? Kwa nini kampuni ya kibiashara iendelee kufanya biashara miaka 18 wakati ilikuwa haipati faida?

Ukweli ni huu: Makampuni na mataifa ya Ulaya yamekuwa yanatuibia kupitia ukwepaji na misamaha ya kodi. Hivyo basi, hizo £626 milioni ambazo wamekuwa wanatupa tangu hiyo 2014, haikuwa ni msaada bali fedha zetu ambazo walitakiwa watulipe kama kodi.

Marekani, mathalani, bajeti yake yote ya Ulinzi inakuwa - "covered by corporate tax". Kodi za makampuni ni mipesa mingi sana. Halafu wao (the developed countries) wanalazimisha makampuni yao yasilipe kodi yanapowekeza nje ya nchi zao. What a con?

3) Jumuiya ya Ulaya haina demokrasia:

Kama kuna Jumuiya hapa duniani ambayo haina demokrasia na inaminya uhuru wa raia wake, basi ni Jumuiya ya Ulaya. 'Structure' ya Umoja wa Ulaya ni ya kitapeli ' per se.' Kwa nini ninasema hivyo:
Umoja wa Ulaya una mihimili mitatu.

(a) Bunge la Umoja wa Ulaya: Hili lina wabunge waliopigiwa kura na raia wa nchi wanazotoka.

(b) Halmashauri au 'Council'. Hapa kuna wajumbe walioteuliwa na Serikali za nchi wanachama.

(c) Kuna 'Commission' au Kamisheni. Wajumbe wa hii Commission wamejichagua wenyewe - ni 'self-appointed clique.' Hawapigiwi kura; na raia wa Jumuiya ya Ulaya hawana njia ya kuwatoa hawa watu kwenye nyadhifa zao.

Utapeli mkubwa zaidi unakuja kwenye mgao wa madaraka. Hii Commission ndiyo inayotunga sheria na kuzipeleka Bungeni. Na hao wabunge hawaruhusiwi kubadili sentensi, neno hata nukta au koma kwenye mswaada. Wabunge kazi yao ni kupiga kura ya "ndiyo" au "hapana."

Jamani hivi, hiyo ndiyo demokrasia ya rangi gani? Umoja wa Ulaya kweli wana miguu ya kusimamia na kutukosoa Watanzania?

4) Soko la Umoja wa Ulaya.

Umoja wa Ulaya, ni asilimia kumi na mbili tu (12%) ya Soko la Dunia. Hata kama wakitutenga, Tanzania au Afrika itakuwa na asilimia 88 (88%) ya soko la dunia la kufanya nalo biashara.

Ushauri Wangu.

Serikali ya Tanzania isitishike na maamuzi ya kikoloni yaliyotolewa na Umoja wa Ulaya. Tanzania siyo koloni, ni Taifa huru; na tupo huru milele (we are free forever."

Cha Kufanya:
  • Tanzania ifute misamaha yote ya kodi kwa makampuni ya nje.
  • Tanzania iendelee kukusanya kodi kwa dhati kama inavyofanya.

Matokeo yatakuwa ni Taifa kunufaika kwa sababu mirija ya waliokuwa wanatunyonya tutakuwa tumeikata.

Tanzania ilipata kuwa kisiwa wakati wa vita vya kulikomboa bara la Afrika; kwa maana ya kuwa hakuna nchi ambayo ilijitolea kwenye masuala ya ukombozi kwa upeo ambao Tanzania ilifanya - ndiyo kusema zama hizo tulikuwa ni kisiwa. Leo, tusihofu kuwa kisiwa tena kwenye vita hii ya kujikomboa kiuchumi. Hivyo,basi tutake tusitake tutakuwa ni kisiwa kwa sababu hakuna atatupigania, zaidi ya sisi wenyewe.

Kwa hiyo kauli za 'hatuwezi kujifanya kisiwa ni za kipuuzi sana.'
Hawa, yaani Umoja wa Ulaya inawauma kuona kuwa taifa ambalo walisadiki kuwa ni duni, si duni tena.

mkali@.co.uk
19/11/2020View attachment 1630297
Taka taka
 
badala uwalaumu watawala (mabwana zako wanaokulisha) kwa kutozingatia utawala bora na demokrasia nchini unawalaumu watu wanaokutaka uzingatie vigezo vigezo hivyo kwa raia unawaongoza ili kupata misaada hiyo?!.

kama tz ni nchi huru kama unavyojitapa si ingekuwa inaikataa hiyo misaada toka zamani, misaada (yenye masharti) ya nn sasa wakati wewe ni nchi huru?!.
Shenzi kabisa, utawala bora utawala bora utawala bora. Aliekwambia sisi tunataka utawala bora nani?. Sisi tunataka yafuatayo:-

i) Maji ya uhakika.
ii) Umeme wa uhakika.
iii) Miundo mbinu ya uhakika kama. Barabara,Reli,Bandari(Meli na Vivuko) na Viwanja vya ndege.
iv) Elimu iendelee kuboreshwa.
v) Afya tunataka izidi kuwa bora zaidi ya hapa tulipofika.
vi) Ajira nyingi zaidi nk.
 
Kaka uhuru unaanzia kwenye kujimudu ki uchumi, Yani wewe mwenyewe kama hauna hela na unategemea mke wako ujue uhuru hauna!

September hii tumekula euro za watu na wanatusimanga nazo, huo uhuru tunatoka nao wapi sasa? Kuwahi na akili nyie watu na mjitahidi kuficha ujinga wenu utawasaidia baadaye!

Pesa una nguvu, uhuru sio kutembea mtaa ni, Uhuru ni kumtegemea mtu bila fedha, we cant move an inch bila Hawa wazungu mbali watu kana; Yani wakifunga tu bidhaa Zao tunaanza tafutana huku!
Acha ujinga wewe, sio wazungu wote wenye akiri za kipumbavu.

Tutaenda negotiate hata na Kremlin au Beijing.
 
Mwenye akili atafikiri zaidi jinsi gani ataitunza heshima yake kitaifa na kimataifa bila kuwaumiza wananchi wake au kuwapa maisha magumu mno so he should finds solutions softly deplomaticaly na si kukomaza kichwa wenye maarifa kwa sasa wanafikiri jinsi ya kubalance hali na upepo huu ili kupata yote yaliyo mema isipotumika busara watu wa chini tutasaga meno IUNDWE KAMATI YA HARAKA IKIONGOZWA NA JK IKAE SIKU TATU ITAFUTE SULUHU I MOSTLY TRUST JAKAYA sipendi kuona tunaacha kujenga nchi tunaanzisha masafari ya kwenda kwenye makesi ya wapenda kesi ukizingatia bacho nchi yetu hatujafikia kiasi cha uchumi ambacho tutaweza kuvimbishiana misuli na nchi za magharibi bado tuendelee tu kujenga taifa letu taratibu.
Fikra zako zinamatege,wewe unafikiri EU wanatupenda km akili zako fyongo zinavyokudanganya?
 
Serikali inapotaka kumuadhibu Mzazi asiyewajibika kwa Mwanaye ataambiwa "Mtoto ukishamzaa ni wa Jamii nzima hivyo huwezi kufanya kama unavyojisikia",

Sasa tunapokuja kimataifa basi Wananchi si mali ya nchi hiyo tu, bali ni mali ya dunia nzima, huwezi kufanya unavyojisikia na ukatamani Mataifa mengine yakuangalie tu.
 
Na Mwandishi Wetu

Zipo taarifa zinasambaa kwamba bunge la Jumuiya ya ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada inayokadiriwa kufikia shilingi trillion 1.6 kwa muda wa miaka 6 kutoka 2014-2020 ambazo ni wastani wa shilingi bilion 267 kwa mwaka. Kiwango hiki cha fedha ni kidogo mno kulika heshima ya uhuru wetu kama nchi.

Ni muhimu jumuiya ya ulaya ikajua:-

1) Haki na Demokrasia:

Kama ambavyo Tanzania haina mamlaka ya kuwatafsiria watu wa Ulaya haki na demokrasia zao, halikadhalika watu wa Ulaya hawana madaraka ya kuwatafsiria Watanzania haki na demokrasia zao. Tanzania ni Taifa huru kama ilivyo hizo nchi za Jumuiya ya Umoja wa Ulaya.

2) Hiyo inayodaiwa kuwa ni misaada haikuwa misaada:

Mtu akikupora shilingi 1,000 kwa mfano, halafu akaamua kukurudishia shilingi 250, hapo hajakupa msaada wowote.

Kwa miaka nenda rudi mataifa na mashirika ya Ulaya na nchi zingine zinazojiita zilizoendelea, walilazimisha Tanzania na nchi za Afrika kwa ujumla kuwapa wawekezaji wao kitu kilichoitwa "tax holidays" yaani misamaha ya kulipa kodi. Na hii ilikuwa ni uhalalishaji wa wizi, "tax holidays are a legal fraud."

Kampuni moja imewahi kufanya biashara Tanzania kwa miaka 18 bila kulipa kodi kwa madai ya kuwa ilikuwa haipati faida. Hiyo kweli inaingia akilini? Kwa nini kampuni ya kibiashara iendelee kufanya biashara miaka 18 wakati ilikuwa haipati faida?

Ukweli ni huu: Makampuni na mataifa ya Ulaya yamekuwa yanatuibia kupitia ukwepaji na misamaha ya kodi. Hivyo basi, hizo £626 milioni ambazo wamekuwa wanatupa tangu hiyo 2014, haikuwa ni msaada bali fedha zetu ambazo walitakiwa watulipe kama kodi.

Marekani, mathalani, bajeti yake yote ya Ulinzi inakuwa - "covered by corporate tax". Kodi za makampuni ni mipesa mingi sana. Halafu wao (the developed countries) wanalazimisha makampuni yao yasilipe kodi yanapowekeza nje ya nchi zao. What a con?

3) Jumuiya ya Ulaya haina demokrasia:

Kama kuna Jumuiya hapa duniani ambayo haina demokrasia na inaminya uhuru wa raia wake, basi ni Jumuiya ya Ulaya. 'Structure' ya Umoja wa Ulaya ni ya kitapeli ' per se.' Kwa nini ninasema hivyo:
Umoja wa Ulaya una mihimili mitatu.

(a) Bunge la Umoja wa Ulaya: Hili lina wabunge waliopigiwa kura na raia wa nchi wanazotoka.

(b) Halmashauri au 'Council'. Hapa kuna wajumbe walioteuliwa na Serikali za nchi wanachama.

(c) Kuna 'Commission' au Kamisheni. Wajumbe wa hii Commission wamejichagua wenyewe - ni 'self-appointed clique.' Hawapigiwi kura; na raia wa Jumuiya ya Ulaya hawana njia ya kuwatoa hawa watu kwenye nyadhifa zao.

Utapeli mkubwa zaidi unakuja kwenye mgao wa madaraka. Hii Commission ndiyo inayotunga sheria na kuzipeleka Bungeni. Na hao wabunge hawaruhusiwi kubadili sentensi, neno hata nukta au koma kwenye mswaada. Wabunge kazi yao ni kupiga kura ya "ndiyo" au "hapana."

Jamani hivi, hiyo ndiyo demokrasia ya rangi gani? Umoja wa Ulaya kweli wana miguu ya kusimamia na kutukosoa Watanzania?

4) Soko la Umoja wa Ulaya.

Umoja wa Ulaya, ni asilimia kumi na mbili tu (12%) ya Soko la Dunia. Hata kama wakitutenga, Tanzania au Afrika itakuwa na asilimia 88 (88%) ya soko la dunia la kufanya nalo biashara.

Ushauri Wangu.

Serikali ya Tanzania isitishike na maamuzi ya kikoloni yaliyotolewa na Umoja wa Ulaya. Tanzania siyo koloni, ni Taifa huru; na tupo huru milele (we are free forever."

Cha Kufanya:
  • Tanzania ifute misamaha yote ya kodi kwa makampuni ya nje.
  • Tanzania iendelee kukusanya kodi kwa dhati kama inavyofanya.

Matokeo yatakuwa ni Taifa kunufaika kwa sababu mirija ya waliokuwa wanatunyonya tutakuwa tumeikata.

Tanzania ilipata kuwa kisiwa wakati wa vita vya kulikomboa bara la Afrika; kwa maana ya kuwa hakuna nchi ambayo ilijitolea kwenye masuala ya ukombozi kwa upeo ambao Tanzania ilifanya - ndiyo kusema zama hizo tulikuwa ni kisiwa. Leo, tusihofu kuwa kisiwa tena kwenye vita hii ya kujikomboa kiuchumi. Hivyo,basi tutake tusitake tutakuwa ni kisiwa kwa sababu hakuna atatupigania, zaidi ya sisi wenyewe.

Kwa hiyo kauli za 'hatuwezi kujifanya kisiwa ni za kipuuzi sana.'
Hawa, yaani Umoja wa Ulaya inawauma kuona kuwa taifa ambalo walisadiki kuwa ni duni, si duni tena.

mkali@.co.uk
19/11/2020View attachment 1630297

Porojo tupu!!!!! Hivi ulisoma na kuzingatia ulichokiandika hapa? hivi ni lini mtaamka na kufumbua macho kuona kinachotendeka mbele yenu?
 
Hatuwezi kuishi bila misaada ya EU na EU inaweza kuishi bila biashara na chochote kutoka Tanzania.

Jiandae kuandika uzi mwingine maana kuna list ya ICC itakuja siku si nyingi kilaza wa Lumumba wewe
Acha kuwa na akili ya kituma HUWEZI KUISHI BILA NINI????
 
Usiwasemee Watanzania
Jisemee wewe na wapinga maendeleo wenzako

Mbona hata kusoma hujui?

Wapi nimewasemea watanzania kama wewe mburula mhitimu wa shule za kata wewe?

Soma tena kutambua nimewasemea wote niliowaemea nikiwapiga pande vilivyo mamburula na wahanga wahanga wote na wewe ukiwamo!
 
Wewe ndiyo nyumbu kabisa
Unaposema watanzania una maana gani?
Mtabaki hivyo hadi mwisho wa Dunia
 
Wewe ndiyo nyumbu kabisa
Unaposema watanzania una maana gani?
Mtabaki hivyo hadi mwisho wa Dunia

Kuna hata haja kukuelimisha nyumbu wewe? Kaa hivyo hivyo. Unarukia neno moja moja? Chukua sentence nzima mburula wee!

Kama wewe huwa ni wa kupuuza tu. Huna lolote jombi.

Pitty you!
 
Inaonekana Hata maisha yako ni ya omba omba ndo maana unaropoka tu badala ya kujibu kwa hoja
Kuna hoja gani ya kujibu humo? Au hiyo riwaya ya kumsifu mfalme wenu ndio unayoita hoja? Akaandike Tena na au asubiri list ya watakaoitwa icc ndio aandike!
Hivi nikuulize, ni lini Tanzania iliacha kuomba misaada kutoka nje? Hebu rudisheni pesa za watu mlizoomba kupambana na covid kwanza!
 
Back
Top Bottom