Umoja wa Ulaya (EU) ujue Tanzania ni Taifa huru kwa 100%

Kampuni ya Tesla ilianzishwa 2003 na ni hivi karibuni tu ndio imeanza kupata faida. Pamoja na haya, katika valuation ya hivi karibuni Tesla ndio kampuni ya gari kubwa duniani ( imeishinda Toyota). Google iliendeshwa kwa miaka mingi kwa hasara lakini sasa ni mojawapo ya makampuni makubwa duniani. Hii dhana potofu ya kuamini kuwa ukifanya biashara ni lazima upate faida baada ya muda mfupi ndio inatuharibia wengi na ndio inayoifanya TRA kuwaminya wafanya biashara bila sababu.

Amandla...
 
na utakua maskin kweli wewe ufipa
kila siku misaada ndio fahar yako.huoni aibu kusema huwez kuish bila misaada.wewe umekaa hapo misaada misaada hiv huwez hata kuleta comment ya kusema jambo la kujitegemea au kuja mkakat.hiv utaendelea kwa misaada??
toa mfano wa nan aliendelea kwa msaada?

Sent using Jamii Forums mobile app
We bibi wa kisukuma hunaga point sometimes...
 
na utakua maskin kweli wewe ufipa
kila siku misaada ndio fahar yako.huoni aibu kusema huwez kuish bila misaada.wewe umekaa hapo misaada misaada hiv huwez hata kuleta comment ya kusema jambo la kujitegemea au kuja mkakat.hiv utaendelea kwa misaada??
toa mfano wa nan aliendelea kwa msaada?

Sent using Jamii Forums mobile app
South Korea, Taiwan, Kuwait, Seychelles waneendelea kwa misaada waliyopewa na magharibi

Sasa kama unaweza kuishi bila msaada ilikuwaje mkaomba Euro Mil 27 kusema mna corona wakati mnatangaza kwenu hakuna corona???
 
UTASUBIRI SANA, HII LAANA HAITAKUJA, ULAYA WANATUHITAJI KULIKO TUNAVYOWAHITAJI
Hahahhha wanakuhitaji kwa nini wewe fukara ambaye kila siku unawatembezea bakuli kuwaomba hela??? Na rudisheni Euro Mil 27 za watu. Na bado tena. Kuna list ya ICC inakuja ndo mtapoteana kabisaaaa
 
Mwenye akili atafikiri zaidi jinsi gani ataitunza heshima yake kitaifa na kimataifa bila kuwaumiza wananchi wake au kuwapa maisha magumu mno so he should finds solutions softly deplomaticaly na si kukomaza kichwa wenye maarifa kwa sasa wanafikiri jinsi ya kubalance hali na upepo huu ili kupata yote yaliyo mema isipotumika busara watu wa chini tutasaga meno IUNDWE KAMATI YA HARAKA IKIONGOZWA NA JK IKAE SIKU TATU ITAFUTE SULUHU I MOSTLY TRUST JAKAYA sipendi kuona tunaacha kujenga nchi tunaanzisha masafari ya kwenda kwenye makesi ya wapenda kesi ukizingatia bacho nchi yetu hatujafikia kiasi cha uchumi ambacho tutaweza kuvimbishiana misuli na nchi za magharibi bado tuendelee tu kujenga taifa letu taratibu.
......kwamba gharama za kuwaingiza akina Gwajima bungeni kwa kura zilizo pigwa kabla, tunaenda kuzilipa.
 
South Korea, Taiwan, Kuwait, Seychelles waneendelea kwa misaada waliyopewa na magharibi

Sasa kama unaweza kuishi bila msaada ilikuwaje mkaomba Euro Mil 27 kusema mna corona wakati mnatangaza kwenu hakuna corona???
Yahani hapo kwenye hizo pesa za Corona ndo umedhihirishwa uhuni wa serekali ya Magufuli na kutokuwa smart pia. .....Ni wahuni tu.
 
Zitto Kabwe, na Tundu Lissu wanadhani Wanawakomoa Watanzania, wanajikomoa wawo wenyewe maana wameisha waonesha Watanzania kuwa kumbe walikuwa wametumwa ili kutuletea machafuko nchini ili Watanzania tuwe na hofu.
Watanzania tuliiisha amua hatutaki upumbafu wao na hatuna hofu (Elimu tunayo, Ardhi tunayo, Fedha tunazo, siasa tunazo, na Watanzania tupo kwa ajili ya kufanya kazi. )
Ushauri: Serikali ikithibitisha Janja ya EU imfukuze nchini Balozi wa EU, Marekani na Ujerumani na Dunia itangaziwe kwamba kwasasa hatuna shughuli nao na Maeneo yao ya ubalozi Yajengwe Mazizi ya kufugia Samaki, Ngedele, na Nguruwe. Na Watangaziwe wazi.
umeishia darasa n la tano............?
 
Mwenye akili atafikiri zaidi jinsi gani ataitunza heshima yake kitaifa na kimataifa bila kuwaumiza wananchi wake au kuwapa maisha magumu mno so he should finds solutions softly deplomaticaly na si kukomaza kichwa wenye maarifa kwa sasa wanafikiri jinsi ya kubalance hali na upepo huu ili kupata yote yaliyo mema isipotumika busara watu wa chini tutasaga meno IUNDWE KAMATI YA HARAKA IKIONGOZWA NA JK IKAE SIKU TATU ITAFUTE SULUHU I MOSTLY TRUST JAKAYA sipendi kuona tunaacha kujenga nchi tunaanzisha masafari ya kwenda kwenye makesi ya wapenda kesi ukizingatia bacho nchi yetu hatujafikia kiasi cha uchumi ambacho tutaweza kuvimbishiana misuli na nchi za magharibi bado tuendelee tu kujenga taifa letu taratibu.
Jk sindio chanzo cha hili tatizo?
 
South Korea, Taiwan, Kuwait, Seychelles waneendelea kwa misaada waliyopewa na magharibi

Sasa kama unaweza kuishi bila msaada ilikuwaje mkaomba Euro Mil 27 kusema mna corona wakati mnatangaza kwenu hakuna corona???
Nafikiri walituletea bila kuombwa baada ya kuona Corona imeenea dunia nzima.
 
na utakua maskin kweli wewe ufipa
kila siku misaada ndio fahar yako.huoni aibu kusema huwez kuish bila misaada.wewe umekaa hapo misaada misaada hiv huwez hata kuleta comment ya kusema jambo la kujitegemea au kuja mkakat.hiv utaendelea kwa misaada??
toa mfano wa nan aliendelea kwa msaada?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana chadema kimekufa na tuliwaaambia kuwa mnafutika mwaka huu. Sasa hivi mwenyekiti sijui ni nani, mhasibu sijui ni nani pale. Kwa akili zenue za kishangazi hizi mnabaki kushadadia misaada. JPM ni shughuli nyingine usipime ni jabari atiii
 
Na Mwandishi Wetu

Zipo taarifa zinasambaa kwamba bunge la Jumuiya ya ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada inayokadiriwa kufikia shilingi trillion 1.6 kwa muda wa miaka 6 kutoka 2014-2020 ambazo ni wastani wa shilingi bilion 267 kwa mwaka. Kiwango hiki cha fedha ni kidogo mno kulika heshima ya uhuru wetu kama nchi.

Ni muhimu jumuiya ya ulaya ikajua:-

1) Haki na Demokrasia:

Kama ambavyo Tanzania haina mamlaka ya kuwatafsiria watu wa Ulaya haki na demokrasia zao, halikadhalika watu wa Ulaya hawana madaraka ya kuwatafsiria Watanzania haki na demokrasia zao. Tanzania ni Taifa huru kama ilivyo hizo nchi za Jumuiya ya Umoja wa Ulaya.

2) Hiyo inayodaiwa kuwa ni misaada haikuwa misaada:

Mtu akikupora shilingi 1,000 kwa mfano, halafu akaamua kukurudishia shilingi 250, hapo hajakupa msaada wowote.

Kwa miaka nenda rudi mataifa na mashirika ya Ulaya na nchi zingine zinazojiita zilizoendelea, walilazimisha Tanzania na nchi za Afrika kwa ujumla kuwapa wawekezaji wao kitu kilichoitwa "tax holidays" yaani misamaha ya kulipa kodi. Na hii ilikuwa ni uhalalishaji wa wizi, "tax holidays are a legal fraud."

Kampuni moja imewahi kufanya biashara Tanzania kwa miaka 18 bila kulipa kodi kwa madai ya kuwa ilikuwa haipati faida. Hiyo kweli inaingia akilini? Kwa nini kampuni ya kibiashara iendelee kufanya biashara miaka 18 wakati ilikuwa haipati faida?

Ukweli ni huu: Makampuni na mataifa ya Ulaya yamekuwa yanatuibia kupitia ukwepaji na misamaha ya kodi. Hivyo basi, hizo £626 milioni ambazo wamekuwa wanatupa tangu hiyo 2014, haikuwa ni msaada bali fedha zetu ambazo walitakiwa watulipe kama kodi.

Marekani, mathalani, bajeti yake yote ya Ulinzi inakuwa - "covered by corporate tax". Kodi za makampuni ni mipesa mingi sana. Halafu wao (the developed countries) wanalazimisha makampuni yao yasilipe kodi yanapowekeza nje ya nchi zao. What a con?

3) Jumuiya ya Ulaya haina demokrasia:

Kama kuna Jumuiya hapa duniani ambayo haina demokrasia na inaminya uhuru wa raia wake, basi ni Jumuiya ya Ulaya. 'Structure' ya Umoja wa Ulaya ni ya kitapeli ' per se.' Kwa nini ninasema hivyo:
Umoja wa Ulaya una mihimili mitatu.

(a) Bunge la Umoja wa Ulaya: Hili lina wabunge waliopigiwa kura na raia wa nchi wanazotoka.

(b) Halmashauri au 'Council'. Hapa kuna wajumbe walioteuliwa na Serikali za nchi wanachama.

(c) Kuna 'Commission' au Kamisheni. Wajumbe wa hii Commission wamejichagua wenyewe - ni 'self-appointed clique.' Hawapigiwi kura; na raia wa Jumuiya ya Ulaya hawana njia ya kuwatoa hawa watu kwenye nyadhifa zao.

Utapeli mkubwa zaidi unakuja kwenye mgao wa madaraka. Hii Commission ndiyo inayotunga sheria na kuzipeleka Bungeni. Na hao wabunge hawaruhusiwi kubadili sentensi, neno hata nukta au koma kwenye mswaada. Wabunge kazi yao ni kupiga kura ya "ndiyo" au "hapana."

Jamani hivi, hiyo ndiyo demokrasia ya rangi gani? Umoja wa Ulaya kweli wana miguu ya kusimamia na kutukosoa Watanzania?

4) Soko la Umoja wa Ulaya.

Umoja wa Ulaya, ni asilimia kumi na mbili tu (12%) ya Soko la Dunia. Hata kama wakitutenga, Tanzania au Afrika itakuwa na asilimia 88 (88%) ya soko la dunia la kufanya nalo biashara.

Ushauri Wangu.

Serikali ya Tanzania isitishike na maamuzi ya kikoloni yaliyotolewa na Umoja wa Ulaya. Tanzania siyo koloni, ni Taifa huru; na tupo huru milele (we are free forever."

Cha Kufanya:
  • Tanzania ifute misamaha yote ya kodi kwa makampuni ya nje.
  • Tanzania iendelee kukusanya kodi kwa dhati kama inavyofanya.

Matokeo yatakuwa ni Taifa kunufaika kwa sababu mirija ya waliokuwa wanatunyonya tutakuwa tumeikata.

Tanzania ilipata kuwa kisiwa wakati wa vita vya kulikomboa bara la Afrika; kwa maana ya kuwa hakuna nchi ambayo ilijitolea kwenye masuala ya ukombozi kwa upeo ambao Tanzania ilifanya - ndiyo kusema zama hizo tulikuwa ni kisiwa. Leo, tusihofu kuwa kisiwa tena kwenye vita hii ya kujikomboa kiuchumi. Hivyo,basi tutake tusitake tutakuwa ni kisiwa kwa sababu hakuna atatupigania, zaidi ya sisi wenyewe.

Kwa hiyo kauli za 'hatuwezi kujifanya kisiwa ni za kipuuzi sana.'
Hawa, yaani Umoja wa Ulaya inawauma kuona kuwa taifa ambalo walisadiki kuwa ni duni, si duni tena.

mkali@.co.uk
19/11/2020View attachment 1630297
Mimi ngoja nifikirie nje ya box!Vp kama hawa EU wangesema uchaguzi ulikuwa huru na haki na kwamba demokrasia imetamalaki Tanzania na wakasema watatoa misaada,ungeandika hayo uliyoandika?
Tuliingia mikataba mbalimbali ya kimataifa kuhusu uhuru,haki na demokrasia!Sasa kwanini tusiende kuvunja hiyo mikataba?Kama hatuhitaji kuingiliwa tuvunje mikataba hiyo na tuwaambie sisi tutajiendesha tutakavyo hakuna haja ya kuingia mkataba wa nini tufanye na nini tusifanye!
As long as tumeingia makubaliano,yakivunjwa basi wana haki ya kuchukua hatua!
 
Na Mwandishi Wetu

Zipo taarifa zinasambaa kwamba bunge la Jumuiya ya ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada inayokadiriwa kufikia shilingi trillion 1.6 kwa muda wa miaka 6 kutoka 2014-2020 ambazo ni wastani wa shilingi bilion 267 kwa mwaka. Kiwango hiki cha fedha ni kidogo mno kulika heshima ya uhuru wetu kama nchi.

Ni muhimu jumuiya ya ulaya ikajua:-

1) Haki na Demokrasia:

Kama ambavyo Tanzania haina mamlaka ya kuwatafsiria watu wa Ulaya haki na demokrasia zao, halikadhalika watu wa Ulaya hawana madaraka ya kuwatafsiria Watanzania haki na demokrasia zao. Tanzania ni Taifa huru kama ilivyo hizo nchi za Jumuiya ya Umoja wa Ulaya.

2) Hiyo inayodaiwa kuwa ni misaada haikuwa misaada:

Mtu akikupora shilingi 1,000 kwa mfano, halafu akaamua kukurudishia shilingi 250, hapo hajakupa msaada wowote.

Kwa miaka nenda rudi mataifa na mashirika ya Ulaya na nchi zingine zinazojiita zilizoendelea, walilazimisha Tanzania na nchi za Afrika kwa ujumla kuwapa wawekezaji wao kitu kilichoitwa "tax holidays" yaani misamaha ya kulipa kodi. Na hii ilikuwa ni uhalalishaji wa wizi, "tax holidays are a legal fraud."

Kampuni moja imewahi kufanya biashara Tanzania kwa miaka 18 bila kulipa kodi kwa madai ya kuwa ilikuwa haipati faida. Hiyo kweli inaingia akilini? Kwa nini kampuni ya kibiashara iendelee kufanya biashara miaka 18 wakati ilikuwa haipati faida?

Ukweli ni huu: Makampuni na mataifa ya Ulaya yamekuwa yanatuibia kupitia ukwepaji na misamaha ya kodi. Hivyo basi, hizo £626 milioni ambazo wamekuwa wanatupa tangu hiyo 2014, haikuwa ni msaada bali fedha zetu ambazo walitakiwa watulipe kama kodi.

Marekani, mathalani, bajeti yake yote ya Ulinzi inakuwa - "covered by corporate tax". Kodi za makampuni ni mipesa mingi sana. Halafu wao (the developed countries) wanalazimisha makampuni yao yasilipe kodi yanapowekeza nje ya nchi zao. What a con?

3) Jumuiya ya Ulaya haina demokrasia:

Kama kuna Jumuiya hapa duniani ambayo haina demokrasia na inaminya uhuru wa raia wake, basi ni Jumuiya ya Ulaya. 'Structure' ya Umoja wa Ulaya ni ya kitapeli ' per se.' Kwa nini ninasema hivyo:
Umoja wa Ulaya una mihimili mitatu.

(a) Bunge la Umoja wa Ulaya: Hili lina wabunge waliopigiwa kura na raia wa nchi wanazotoka.

(b) Halmashauri au 'Council'. Hapa kuna wajumbe walioteuliwa na Serikali za nchi wanachama.

(c) Kuna 'Commission' au Kamisheni. Wajumbe wa hii Commission wamejichagua wenyewe - ni 'self-appointed clique.' Hawapigiwi kura; na raia wa Jumuiya ya Ulaya hawana njia ya kuwatoa hawa watu kwenye nyadhifa zao.

Utapeli mkubwa zaidi unakuja kwenye mgao wa madaraka. Hii Commission ndiyo inayotunga sheria na kuzipeleka Bungeni. Na hao wabunge hawaruhusiwi kubadili sentensi, neno hata nukta au koma kwenye mswaada. Wabunge kazi yao ni kupiga kura ya "ndiyo" au "hapana."

Jamani hivi, hiyo ndiyo demokrasia ya rangi gani? Umoja wa Ulaya kweli wana miguu ya kusimamia na kutukosoa Watanzania?

4) Soko la Umoja wa Ulaya.

Umoja wa Ulaya, ni asilimia kumi na mbili tu (12%) ya Soko la Dunia. Hata kama wakitutenga, Tanzania au Afrika itakuwa na asilimia 88 (88%) ya soko la dunia la kufanya nalo biashara.

Ushauri Wangu.

Serikali ya Tanzania isitishike na maamuzi ya kikoloni yaliyotolewa na Umoja wa Ulaya. Tanzania siyo koloni, ni Taifa huru; na tupo huru milele (we are free forever."

Cha Kufanya:
  • Tanzania ifute misamaha yote ya kodi kwa makampuni ya nje.
  • Tanzania iendelee kukusanya kodi kwa dhati kama inavyofanya.

Matokeo yatakuwa ni Taifa kunufaika kwa sababu mirija ya waliokuwa wanatunyonya tutakuwa tumeikata.

Tanzania ilipata kuwa kisiwa wakati wa vita vya kulikomboa bara la Afrika; kwa maana ya kuwa hakuna nchi ambayo ilijitolea kwenye masuala ya ukombozi kwa upeo ambao Tanzania ilifanya - ndiyo kusema zama hizo tulikuwa ni kisiwa. Leo, tusihofu kuwa kisiwa tena kwenye vita hii ya kujikomboa kiuchumi. Hivyo,basi tutake tusitake tutakuwa ni kisiwa kwa sababu hakuna atatupigania, zaidi ya sisi wenyewe.

Kwa hiyo kauli za 'hatuwezi kujifanya kisiwa ni za kipuuzi sana.'
Hawa, yaani Umoja wa Ulaya inawauma kuona kuwa taifa ambalo walisadiki kuwa ni duni, si duni tena.

mkali@.co.uk
19/11/2020View attachment 1630297
Nadhani unajaribu kutuchanganya, makampuni ya ulaya haina maana kama yanafanya biashara kwa niaba ya nchi za ulaya. Haya ni makampuni binafsi na wala sidhani kama umoja wa ulaya ulitoa sharti la misaada ili makampuni yafutiwe kodi!

Pili misaada ni hiari yake mtu kukupa au kutokukupa. Akiona ana wasiwasi kama fedha zake anakusaidia halafu zinatumika kufanya mauaji ya wanyonge kule Pemba na kwengineko. Nadhani ana haki ya kupaza sauti na kusema nasitisha misaada hadi nitakapoona au kujiridhisha na hali katika nchi fulani.

Hawajasema kama wataivamia au wanailazimisha Tanzania ifanyeje. Wameonesha kutoridhishwa na kuamua kuondosha misaada yao. Sasa nadhani JPM na CCM waseme tuu kibabe "hatubabaishwi na misaada, futeni sie tunaendelea kama kazi".

Hizo ndio kauli natarajia kusikia kutoka kwa viongozi wa Tanzania. Kule Zanzibar tulishapitia kipindi cha namna hii kuanzia 1995 - 2000 nchi wahisani waliondosha misaada na tuliishi kwa raha kabisa. Waulizeni wazanzibari wakupeni fununu za miaka mitano hio ya komandoo. Jifunzeni hapo karibu tuu hiki kilishatokea na guess what ... CCM made it to 2000 ;)
 
Na Mwandishi Wetu

Zipo taarifa zinasambaa kwamba bunge la Jumuiya ya ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada inayokadiriwa kufikia shilingi trillion 1.6 kwa muda wa miaka 6 kutoka 2014-2020 ambazo ni wastani wa shilingi bilion 267 kwa mwaka. Kiwango hiki cha fedha ni kidogo mno kulika heshima ya uhuru wetu kama nchi.

Ni muhimu jumuiya ya ulaya ikajua:-

1) Haki na Demokrasia:

Kama ambavyo Tanzania haina mamlaka ya kuwatafsiria watu wa Ulaya haki na demokrasia zao, halikadhalika watu wa Ulaya hawana madaraka ya kuwatafsiria Watanzania haki na demokrasia zao. Tanzania ni Taifa huru kama ilivyo hizo nchi za Jumuiya ya Umoja wa Ulaya.

2) Hiyo inayodaiwa kuwa ni misaada haikuwa misaada:

Mtu akikupora shilingi 1,000 kwa mfano, halafu akaamua kukurudishia shilingi 250, hapo hajakupa msaada wowote.

Kwa miaka nenda rudi mataifa na mashirika ya Ulaya na nchi zingine zinazojiita zilizoendelea, walilazimisha Tanzania na nchi za Afrika kwa ujumla kuwapa wawekezaji wao kitu kilichoitwa "tax holidays" yaani misamaha ya kulipa kodi. Na hii ilikuwa ni uhalalishaji wa wizi, "tax holidays are a legal fraud."

Kampuni moja imewahi kufanya biashara Tanzania kwa miaka 18 bila kulipa kodi kwa madai ya kuwa ilikuwa haipati faida. Hiyo kweli inaingia akilini? Kwa nini kampuni ya kibiashara iendelee kufanya biashara miaka 18 wakati ilikuwa haipati faida?

Ukweli ni huu: Makampuni na mataifa ya Ulaya yamekuwa yanatuibia kupitia ukwepaji na misamaha ya kodi. Hivyo basi, hizo £626 milioni ambazo wamekuwa wanatupa tangu hiyo 2014, haikuwa ni msaada bali fedha zetu ambazo walitakiwa watulipe kama kodi.

Marekani, mathalani, bajeti yake yote ya Ulinzi inakuwa - "covered by corporate tax". Kodi za makampuni ni mipesa mingi sana. Halafu wao (the developed countries) wanalazimisha makampuni yao yasilipe kodi yanapowekeza nje ya nchi zao. What a con?

3) Jumuiya ya Ulaya haina demokrasia:

Kama kuna Jumuiya hapa duniani ambayo haina demokrasia na inaminya uhuru wa raia wake, basi ni Jumuiya ya Ulaya. 'Structure' ya Umoja wa Ulaya ni ya kitapeli ' per se.' Kwa nini ninasema hivyo:
Umoja wa Ulaya una mihimili mitatu.

(a) Bunge la Umoja wa Ulaya: Hili lina wabunge waliopigiwa kura na raia wa nchi wanazotoka.

(b) Halmashauri au 'Council'. Hapa kuna wajumbe walioteuliwa na Serikali za nchi wanachama.

(c) Kuna 'Commission' au Kamisheni. Wajumbe wa hii Commission wamejichagua wenyewe - ni 'self-appointed clique.' Hawapigiwi kura; na raia wa Jumuiya ya Ulaya hawana njia ya kuwatoa hawa watu kwenye nyadhifa zao.

Utapeli mkubwa zaidi unakuja kwenye mgao wa madaraka. Hii Commission ndiyo inayotunga sheria na kuzipeleka Bungeni. Na hao wabunge hawaruhusiwi kubadili sentensi, neno hata nukta au koma kwenye mswaada. Wabunge kazi yao ni kupiga kura ya "ndiyo" au "hapana."

Jamani hivi, hiyo ndiyo demokrasia ya rangi gani? Umoja wa Ulaya kweli wana miguu ya kusimamia na kutukosoa Watanzania?

4) Soko la Umoja wa Ulaya.

Umoja wa Ulaya, ni asilimia kumi na mbili tu (12%) ya Soko la Dunia. Hata kama wakitutenga, Tanzania au Afrika itakuwa na asilimia 88 (88%) ya soko la dunia la kufanya nalo biashara.

Ushauri Wangu.

Serikali ya Tanzania isitishike na maamuzi ya kikoloni yaliyotolewa na Umoja wa Ulaya. Tanzania siyo koloni, ni Taifa huru; na tupo huru milele (we are free forever."

Cha Kufanya:
  • Tanzania ifute misamaha yote ya kodi kwa makampuni ya nje.
  • Tanzania iendelee kukusanya kodi kwa dhati kama inavyofanya.

Matokeo yatakuwa ni Taifa kunufaika kwa sababu mirija ya waliokuwa wanatunyonya tutakuwa tumeikata.

Tanzania ilipata kuwa kisiwa wakati wa vita vya kulikomboa bara la Afrika; kwa maana ya kuwa hakuna nchi ambayo ilijitolea kwenye masuala ya ukombozi kwa upeo ambao Tanzania ilifanya - ndiyo kusema zama hizo tulikuwa ni kisiwa. Leo, tusihofu kuwa kisiwa tena kwenye vita hii ya kujikomboa kiuchumi. Hivyo,basi tutake tusitake tutakuwa ni kisiwa kwa sababu hakuna atatupigania, zaidi ya sisi wenyewe.

Kwa hiyo kauli za 'hatuwezi kujifanya kisiwa ni za kipuuzi sana.'
Hawa, yaani Umoja wa Ulaya inawauma kuona kuwa taifa ambalo walisadiki kuwa ni duni, si duni tena.

mkali@.co.uk
19/11/2020View attachment 1630297

Kuweka namba za simu mmeona isiwe nongwa sasa ni kwa barua pepe.

Njaa hizi? Kazi kweli kweli.

Kipi katika tuhuma za EU si kweli?

Kwa taarifa yako tuhuma na hatua za EU zinaungwa mkono vilivyo na watanzania wengi tu hata kama wewe na wenzio hammo!
 
Zitto Kabwe, na Tundu Lissu wanadhani Wanawakomoa Watanzania, wanajikomoa wawo wenyewe maana wameisha waonesha Watanzania kuwa kumbe walikuwa wametumwa ili kutuletea machafuko nchini ili Watanzania tuwe na hofu.
Watanzania tuliiisha amua hatutaki upumbafu wao na hatuna hofu (Elimu tunayo, Ardhi tunayo, Fedha tunazo, siasa tunazo, na Watanzania tupo kwa ajili ya kufanya kazi. )
Ushauri: Serikali ikithibitisha Janja ya EU imfukuze nchini Balozi wa EU, Marekani na Ujerumani na Dunia itangaziwe kwamba kwasasa hatuna shughuli nao na Maeneo yao ya ubalozi Yajengwe Mazizi ya kufugia Samaki, Ngedele, na Nguruwe. Na Watangaziwe wazi.

Huyu ni made in Lumumba.

Si ungejimazia tu mkuu kuficha upeo wako wa akili?

Kumbe bado hukufahamu kwa nini kabudi na mpango tayari ni mawaziri rasmi?
 
Hatuwezi kuishi bila misaada ya EU na EU inaweza kuishi bila biashara na chochote kutoka Tanzania.

Jiandae kuandika uzi mwingine maana kuna list ya Icc itakuja siku si nyingi kilaza wa Lumumba wewe
Hacha mawazo ya kitumwa
Ndiyo nyinyi mnakaa kwa wazazi wenu hata baada ya kuoa
 
Back
Top Bottom