Umoja wa Tuliopigwa Ban (UTB) Special Thread

Dah! Mkuu hili wazo umelitoa wapi?
Anyway. Ila wakija wajamaa wa kazi wataufuta faster
 
Nshawah kula ban kipind cha uchaguzi ikabd ninunue smu nyingne kabsa
 
Hivi ntajuaje kama ndo nishapigwa ban?
Kama unatumia jf app utaona akuna hata post moja unayoiyona na kwenye avatar yako utakuta wamebadilisha na kukuwekea hii
9d42579c51125eea2500bc5fb44fa59e.jpg

Kama unatumia browser utakutana na ujumbe unakupa taarifa kwamba uko banned na kosa ulilofanya.
 
je nikipigwa ban naweza fungua acc nyingine ya jf nikaendelea na maisha ???
 
Back
Top Bottom