Umoja wa maaskofu ukowapi kutoa kauli na waraka juu ya hili swala la escrow

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
978
1,000
Walitoa msimamo na waraka juu ya katiba mpya na waliipinga kwa nguvu zote.

Vipi wapo kimya juu ya mjadala unaohusu ujambazi mkubwa huu tena wa wazi kabisa.

Tunajua kuna maaskofu mlipata mgao ila tunaamini hamkujua ni za dili. Benki iliyokuwa inatumika kuziiba fedha ni ya kanisa katoliki ndiomaana mko kimya

MMKO WAPI MAASKOFU WETU. ZIPO WAPI CHURCH MOVEMENT KAMA ZILIZOKUWEPO ENZI ZA KUPIGANIA UHURU.
ZIKO WAPI ISLAMIC MOVMENT ZA KUPIGANIA HAKI NA USAWA
 
  • Thanks
Reactions: SMU

Magagi manonu

Member
Nov 16, 2014
39
0
Ziko wapi asasi za kiraia, TAHLISO,TUGHE, RAAWU mko wapi au haliwahusu? Tuuganeni kupinga wizi huu wa wachache huku Watanzania wakifa kwa kukosa dawa, wanafunzi mkikosa mikopo, wananchi tukiwa na huduma mbovu kwa watoto wetu shuleni nk
 
kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,727
2,000
Walitoa msimamo na waraka juu ya katiba mpya na waliipinga kwa nguvu zote.

Vipi wapo kimya juu ya mjadala unaohusu ujambazi mkubwa huu tena wa wazi kabisa.

Tunajua kuna maaskofu mlipata mgao ila tunaamini hamkujua ni za dili. Benki iliyokuwa inatumika kuziiba fedha ni ya kanisa katoliki ndiomaana mko kimya

MMKO WAPI MAASKOFU WETU. ZIPO WAPI CHURCH MOVEMENT KAMA ZILIZOKUWEPO ENZI ZA KUPIGANIA UHURU.
ZIKO WAPI ISLAMIC MOVMENT ZA KUPIGANIA HAKI NA USAWA
Askofu KILAINI kavuta MILLION 80.
 
Honolulu

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
5,649
1,225
Kanisa halina haraka. Tamko litatolewa tu. Hata huyo Kilaini ikithibitika wazi kwa ushahidi usio na shaka kwamba amepokea hizo pesa, Vatican itamvua madaraka tu. Vuteni subira, mtaona. siyo rahisi kwa Kanisa Katoliki kuvumilia uchafu wa namna hiyo!
 
wakindimba23

Member
Nov 25, 2014
6
0
Walitoa msimamo na waraka juu ya katiba mpya na waliipinga kwa nguvu zote.

Vipi wapo kimya juu ya mjadala unaohusu ujambazi mkubwa huu tena wa wazi kabisa.

Tunajua kuna maaskofu mlipata mgao ila tunaamini hamkujua ni za dili. Benki iliyokuwa inatumika kuziiba fedha ni ya kanisa katoliki ndiomaana mko kimya

MMKO WAPI MAASKOFU WETU. ZIPO WAPI CHURCH MOVEMENT KAMA ZILIZOKUWEPO ENZI ZA KUPIGANIA UHURU.
ZIKO WAPI ISLAMIC MOVMENT ZA KUPIGANIA HAKI NA USAWA
Askofu KILAINI kavuta MILLION 80.
Toa ushaidi wa madai yakoo
 
Technology

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
762
500
Hao maskofu wanauza madawa ya kulevya sembuse ufisadi huu wa escrow? Wanafiki watupu

cc faizafox; ritz; kahtan
 
kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,727
2,000
Mabwege wana kazi! Ndo maana wanakudharau!
Sasa sijui ----- ni nani kati yangu na wewe maana naona unadandia pasipokujua nini unakiandika.

[h=2]
Askofu Methodius Kilaini naye alimegewa 80m za mbia wa IPTL
[/h]
Kwa masikitiko makubwa ninayo huzuni kuandika hapa kuwa Mmojawapo wa waliomegewa pesa za mbia wa IPTL ni askofu msaidizi wa jimbo la Bukoba mhashamu Askofu Kilaini. Yeye alimegewa pesa hizo kutoka akaunti ya Rugemalira iliyoko kwenye Benk ya Ukombozi.

Kwa mujibu wa statement ya mbia huyo wengine ni akina Anna Tibaijuka kama ilivyokwisha kuandikwa awali.
Bila shaka mtaniuliza chanzo au source, source ni kuwa huu ni ukweli mtupu, siandiki kwa chuki za kidini kwa kuwa mimi pia ni mkatoliki, bali nimeandika hapa kwa kuwa Baba askofu ni mtu wa Mungu ajitokeze akanushe kama anaweza, au atueleze nia na madhumuni ya kupewa pesa hizo ili tumwelewe, kwa vyovyote vile simwelewi.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ini-naye-alimegewa-80m-za-mbia-wa-iptl-9.html
 
Invarbrass

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
505
195
Haya matamko na ma waraka bure kabisa. Tufuate misingi ya sheria . Ukikosea mahakamani. Raia tujenge utaratibu wa kuwajibishana kisheria. Lakini usanii wa matamko na waraka ni maneno tu hayo hata kwenye khanga yapo. Watu wanapiga pesa sie tunaomba matamko badala ya kuwafungulia kesi. Askofu akitoa waraka then what? I hate this waraka or tamko thing
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom