Umoja ni nguvu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,369
217,420
Subpost 1 - Kikao kizito kinaendelea Muda huu kaeni Mkao wa Kula..jpg

Subpost 2 - Kikao kizito kinaendelea Muda huu kaeni Mkao wa Kula..jpg

Subpost 1 - Retreat ya Viongozi Waandamizi wa Vyama vya Siasa iliyoandaliwa na M.jpg
 
Safi sana huenda ni Mwendelezo mkono wa Amani maelekezo ya H.E JPM kwa mzee Lowasa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Safi sana huenda ni Mwendelezo mkono wa Amani maelekezo ya H.E JPM kwa mzee Lowasa.
Katika waliokutana hakuna anayehofia kufungwa , kwa hiyo kwenye kikao hiki kauli za jiwe kwa Lowassa si ajenda
 
Muungano wowote unatakiwa Maalim seif Mbowe na hao wengineo.

Halafu sisi kazi yetu ni kuyang'amua mapandikizi na kuyadunga sindano ya uzezeta kama walivyomfanyia Lowassa.
 
Membe na Nnape na nyinyi 0
Muungano wowote unatakiwa Maalim seif Mbowe na hao wengineo.

Halafu sisi kazi yetu ni kuyang'amua mapandikizi na kuyadunga sindano ya uzezeta kama walivyomfanyia Lowassa

Lowasaa alichomwa sindano,natunajua ni dawa gani iliyotumika,na kama makamanda mtakumbuka wakati wa kampeni hata kwenye mahojiano ya BBC kiswahili nilikuwa nimekaa na jammaa zangu wakimcheka.


Safari hii tuwe makini sana.
 
Wakristo,Waisilamu,Wahindu,Dini za kienyeji,Wabahai,Waswezi, na Wasioamini chochote...tuunganeni bila kujali tofauti zetu ili tuwatoe hawa Siafu na Kiongozi wao.
 
Back
Top Bottom