Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu

Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,141
Reaction score
96,171
Lisu/Heche et all , for that matter Chadema mnajidanganya, Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Sidhani kama nguvu yenu na heshima yenu itabaki kama ilivyokuwa

Na G 55 pia, Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. Sidhani kama mtakako kwenda mtapata heshima kama mliyokuwa nayo chadema, likewise Chadema heshima, nguvu mliyokuwa nayo haiwezi kubaki kwenye level ile ile!

TIME WILL TELL
 
I recall ccm ilisha wa terminate baadhi ya wanachama wake based on the same thing.

When it comes to siasa za vyama, haswa hivi vya kiaafrica ni either uko with them or against them. Choice inajulikana
 
Ni kweli umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu.
Unawezaje kuwa na umoja na mtu ambaye unaona kabisa ana mission nyingine thanks tofauti na mliyo nayo?.

Chadema ilikuwa mateka, inapaswa sasa kujinasua kwenye umateka ili iwe ni option B ya Watanzania dhidi ya CCM iliyotekwa kitambo na kujaribu kuongeza Matawi.

MBOWE na team yake hawakuwa watu serious kwenye siasa za mageuzi zaidi ya wafanyabiashara na CDM kwao ilikuwa bargaining chip tu.
 
Lissu na heche umewaingiza kimakosa hapo, wameshinda kihalali kabisa Ila walioshindwa ndio wamegoma kukubali matokeo. Hilo sio kosa la lissu Wala heche

Pia kwa nini usione kuwa hao walikua vibaraka humo chadema kwa muda mrefu? Kigaila na mwalimu wake zao ni wale covid 19, ulikua unajua walipataje saini ya ofisi ya katibu. Hapo lissu na heche kosa lao lipi? Au nu Bora kuendelea kuwa na madalali wa siasa ndani ya chama?

Wapo wanachadema walioumizwa na kutekwa hivi karibu umewahi kuwaona hao G55 wakiitisha press kuikosoa ccm au serikali? Hapo lissu na heche wafanyaje?
 
Lisu/Heche et all , for that matter Chadema mnajidanganya, Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Sidhani kama nguvu yenu na heshima yenu itabaki kama ilivyokuwa

Na G 55 pia, Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. Sidhani kama mtakako kwenda mtapata heshima kama mliyokuwa nayo chadema, likewise Chadema heshima, nguvu mliyokuwa nayo haiwezi kubaki kwenye level ile ile!

TIME WILL TELL
Bahari haikai na uchafu. Kwa sasa cdm itakuwa imara zaidi baada ya hilo kundi la wasaka vyeo kuondoka. Umoja ni mzuri kama uko na watu wanaokubali kushindwa, kubaki na kakundi cha wasaka vyeo ni kujitakia matatizo. Waende pengine waache uongozi mwingine ufanye kazi. Cdm ina wafuasi wanaojitambua.
 
Retired Retired Retired, umekomaa na Lissu na Heche leo hawapumui.
Mwenzio anakula virungu Keko na ww umekomaanae tu leo 😂 😂 😂 kaaz kweli kweli.
 
Acha ujinga,

Umoja na msaliti wapi na wapi?

Mkitofautiana misimamo, ni vyema Kila mmoja kuchukua njia yake.
 
Back
Top Bottom