ngombelee
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 376
- 285
Umoja Wa ma Boyfriend wasumbufu Tanzania(UBOTA) ...Tunependa kuwatangazia wana chama wetu kua bado kauli mbiu yetu ni ile ile "NTAKUOA MWAKANI" usijaribu wala kushawishika kuingia kwenye ndoa maana walio ndani ya ndoa wanataka kutoka....!!
*UBOTA OYEeeeeH*
*UBOTA OYEeeeeH*