Umoja house experience!

Jamani kila mukifanya application halafu Ubalozi ukazikataa ndio fedha nyingi zaidi zinapatikana za visa.

Ujue local currency inahitajika kwa ajili ya matumizi ya hapa hapa.
 
Miafrika ndivyo yalivyo sijawahi sikia mtu kanyimwa visa ya kwenda Palestina, Iraq, Somalia, Sudan huko mbona watu hamlilii kwenda au mntaka kwa wazungu tu?
Labda kama nimwanajeshi ndo nitalilia kwenda huko, vinginevyo labda kama unapenda vita................. Nani alilie kwenda makaburini...?????
 
Acheni kulalamikia nchi za watu bana. Aaaah....kwani ukinyimwa viza ndo mwisho wa maisha? Kama watu hawataki wewe uende nchini kwao basi....sio kulia lia kaa mtoto aliyenyimwa peremende. Miafrika bana..
Amakweli leo nimeamini baadhi ya waafrika ni viumbe wa ajabu kabisa!(Wewe ni mmoja wapo!)
We unasema hivyo kwakuwa ushazamia ughaibuni na 'makartas' yamekaa shwari?
Kuna watanzania kama wewe wanahitiji 'kujaribu' kutimiza ndoto zao!
 
Back
Top Bottom