Anatetea ugali wake asisahaulike in the next cabinet reshuffle (if any)!Hii tweet imenifanya kucheka sana hasa baada ya kusoma reply zake 😂...
View attachment 2071121
Hapo kwenye if any...una maana mama anaweza akaghairi reshuffle aliyoikusudia?Anatetea ugali wake asisahaulike in the next cabinet reshuffle (if any)!
Huyu si mswahili tuuu siku zote, huyu na team Msogaa wa siku nyingiHii tweet imenifanya kucheka sana hasa baada ya kusoma reply zake 😂...
View attachment 2071121
Huuu sass umbeaumbea wa kusutanaHii tweet imenifanya kucheka sana hasa baada ya kusoma reply zake 😂...
View attachment 2071121
Hii tweet imenifanya kucheka sana hasa baada ya kusoma reply zake ...
View attachment 2071121
Nitahamia South AfricaPossible PM
wapo wengi ambao ni wasaliti wamepanga kufanya hivyoMama aharakishe kuteua mawaziri...akiendelea kuchelewa, atajikuta haoni wa kumteua.
Watu wanazidi kujianika tu ujuha wao.
wapo wengi ambao ni wasaliti wamepanga kufanya hivyo
Kwny siasa lolote linawezekana mkuu.Hapo kwenye if any...una maana mama anaweza akaghairi reshuffle aliyoikusudia?
Unafiki tuHii tweet imenifanya kucheka sana hasa baada ya kusoma reply zake ...
View attachment 2071121