UMISSETA Mbeya: Waliishia wapi Athumani Mwangwego na Mwanyapu ?

Sinkala

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
1,773
684
Hawa jamaa mwanzoni mwa miaka ya tisini wakiwa sekondari walitikisa sana mji wa Mbeya katika michezo ya UMISSETA kiasi kwamba nilijua watakuja kucheza ligi kuu hata timu za taifa. Waliishia wapi hawa jamaa?
 
Yeah man. Athuman alikuwa Prison baadae akatemwa. Amebaki kuwa askari magereza. Mwanyapu aka Bonkke mara ya mwisho (2006) alikuwa afisa mtendaji halmashauri ya wilaya ya Rungwe. Nilikuwa nao hawa jamaa timu ya UMISSETA mkoa wa Mbeya. Mi nilikuwa Sangu. Athuman alikuwa Mbeya Sec na Mwanyapu alikuwa Ivumwe baada ya kutoka Iyunga. Pia tulikuwa na watu kama Primus Kasonso na wengineo.
 
Msinikumbushe Fortunatus Kasomfi, kipa mkali Mbeya nzima, vipoaji lukuki, leo ni mganga South Africa
 
Back
Top Bottom