Umiliki wa jina la kampuni na trademark | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umiliki wa jina la kampuni na trademark

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by C.T.U, Oct 15, 2011.

 1. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Jamani wakuu habari zenu,
  Mimi nilikuwa nina swali moja naomba kuuliza
  mfano ukianzisha kampuni yako na ukaipa jina la
  itanzania na mfano hiyo kampuni ikawa inashughulika na vitu kama utengenezaji wa vitu vya technology na katika hivyo ukawa una products kama softwares na hardwares na ukawa unazipa majina kama itanzania softwares na ukawa na bidhaa kama TV na simu ukawa unaziita itanzania Tv na simu ukawa unaziita itanzania mobile je

  swali langu ni hili....??
  KAMPUNI YA APPLE INC wanaweza kuku SUE kisa umetumia title yao ya i KATIKA PRODUCT ZAKO???
  NAOMBA NIELEZWE KATIKA HILI
  na je ni vitu gani ukivitumia Kampuni nyingine inaweza kuku sue kisa umetumia trademark zao???
   
 2. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Trademark ni kitu chochote kinachotumika kilichosajiliwa na kutumiwa na mtu/mhusika aliyekisajiri ili kubainisha tofauti na bidhaa za aina hiyohiyo sokoni, mfano kama ulivyosema jina,alama, nembo, umbile km umbule la chupa,parking style,wimbo,sauti, movement n.k kama halijawahi kusajiliwa na mtu yeyote utakuwa na haki nalo. isipokuwa kama panamtu alishawahi kuisajiri anahaki ya kuku-sue,, lazima Apple wamesajili hiyo worldwide i ndogo kabla ya neno llolote kama ishara ya product zao e.g iPod,iPad,iCloud, etc. kwa hiyo wanaweza kuku sue pana hoja nyingine kama hawajasajili tanzania na wewe ukaisajili hiyohiyo i kwa tazania na Brella wakakubali nadhani kwa tz utakuwa mmiliki sina uhakika nalo kwa zile product ambazo sio famous inawezekana..
   
 3. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na wewe igeuze hiyo iTanzania kama wanaleta shida. !tanzania. haitoshi nitafute kwenye kwenye nammba +61413575044
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Pole!!.
   
 5. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mimi sio mtaalam wa sheria lakini mbona naona bidhaa nyingi za kichina zina majina yanafanana na zile zenye kambuni miliki? mf. Sonitec badala ya Sony, Sansung badala ya Samsung n.k
   
Loading...