Umewazidi wote

Hivi huu nao tunaweza kuuita wimbo wa injili?
Sababu umeimbwa na muimba nyimbo za dini, hatuna budi kuuita hivyo. Mfano ungeimbwa na muimba taarabu tungeuita wimbo wa taarabu, ungeimbwa na muimba singeli tungeuita wimbo wa singeli
 
Kwel bnadam wana maneno sana. Mke / mume umemchagua mwenyewe lkn walmwengu watasema mara hawaendan, ooh malaya na utabr watatoa. Hao mda sio watatengana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…