Hata espy nimemzidi eeUmewazidi wote!
He hee kwahiyo Ngabu ni mtaka vituSio mtakavitu ngabu?
Hivi espy ni nani?.......ni ID ya pili ya fulani???Hata espy nimemzidi ee
We mtoto weee usiniwekee maneno.He hee kwahiyo Ngabu ni mtaka vitu
Ha haa kumbe unamwogopa eeWe mtoto weee usiniwekee maneno.
Kwanini nimuogope?Ha haa kumbe unamwogopa ee
nimesahauYaani umenikumbusha huo wimbo nilikuwa naupenda, na hivyo yumo kiba basi mimi kiroho kwatuuuu.
Hivi hapo huwa anatamka jina gani? Ni espy kweli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] !.....nilikuwa najua hivyohivyo!.....kwa nini amehamua kubadilisha ID??Ni kale ka atoto
We ndo ujibu kwanini umwogope?Kwanini nimuogope?
Basi nashukuru mume wangu kipenzi kwa dedikesheni hiyo.nimesahau
nipo kwa ajili yako babyBasi nashukuru mume wangu kipenzi kwa dedikesheni hiyo.
Love you hubbynipo kwa ajili yako baby
Nakutania bana sio mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] !.....nilikuwa najua hivyohivyo!.....kwa nini amehamua kubadilisha ID??
Ni yeye!😱.....nimehack account yake na nimegundua ni yeye!......na amekutumia pm pia!Nakutania bana sio mwenyewe
teh. . teh. . huu uchochezi sasa!kunaule wa "'wanawake wazuri wazuri wameolewa ...yamebaki manung'aembe yana hangaika'''
Joke
Ha haa mwongo wewe... Sijapata pm yake walaNi yeye!😱.....nimehack account yake na nimegundua ni yeye!......na amekutumia pm pia!
kweli tuache tuingie kwenye lile penzi la uwazi lakini Mungu hapendi tuendelee tu au utaacha kupenda pesaNami nitaacha usista[emoji4]
Sasa nisipende pesa nipende nini jamani?
unipende mimi kwanza pesa baadae
Mh haujapata audio yake valentinaNi wimbo mzuri... Natafuta audio yake