Umewaona wake zake Mcharo?

Eee bhana ee!!
Hii kitu tunaita African magic!
 
mcharo anapata utaaaammuuu
 
Shehe Hilary Kipozeo. Neema za Allah. Allahu akbar.
 
Hivi nani anaweza kukatiza mitaa kafuatana na hao, utaonekana una katabia ambacho hata huna.
 
Hv hiyo Mcharo kawa mtamu ndio nn na ina uhusiano gani na wale watoto wahitimu wa St.Francis?mi huku mashambani haijafika naomba kueleweshwa wadau.
 
Ulaji wa hovyo na ukosefu wa mazoezi. Tubadilikeni jamani .....
 
Kipato cha bodaboda kinatunza vizuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…