Umewahi ziona hybrid cars hapa bongo? Je, zinastahimili changamoto mbalimbali? Wataalamu karibuni!

1485430414299b65c7f9714f23921ddd.jpg
735cea3861781eec4d64b3a69b39e2bb.jpg

Hiyo Auris Hybrid ninayo haijawahi kusumbua nilienda nayo moshi kupitia bagamoyo nilitumia lita 25
 
MKUU SIKUSHAURI kabisa ununue hizo gari sababu kubwa ni spea mm nishakutana nazo kama 7 hivi na zote mpaka kufikia kuharibika ni kisa kimoja 2.ile gari huwa ina kuwa na betri 2 ya kawaida mbele na nyuma kunakuwa na betri kubwaa ya hybrid .

tatizo huwalinakuwa betri ya haybrid ikiisha charge hapo ndio kwisha kazi.maana huwa inachajiwa na mashine maalum kwa wenzetu ukiingia kwenye vituo vya kujazia mafuta huwa kunakuwa na cable kwaajili ya kucharge betri kuna soket unachomeka kama unajaza mafuta vile.

mm nilitegemea TOYOTA tanzania labda wangekuwa na hizo mashine lkn hakuna betri ya hybrid ikiisha basi gari haiwezi kuwaka tena.kuna gari tulihangaika nayo sana kujaribu kucharge hizo betri kwa njia ya kucharge cell moja moja tukafika kwenye gari tukaweka ikazunguka mara moja tuu na zikaenda down.

na hata hivyo wataalam wakutengeneza hizo gari nao ni shidaa.
mm nashangaa sijui kwa nn toyota wasingekuwa wanaendesha mafunzo kwa mafundi wanao taka kujiendeleza ili iwe rahisi mafundi kurekebisha gari zao??

mfano now gari za D4 zinaonekana kama kimeo sana wakati sio kweli kbs badala ya kufundisha watu jinsi ya kuzirekebisha wao wapo kimyaa tuu.

kwanza tanzania hakuna chuo cha kufundisha ufundi huko VETA ukienda wanafundisha magari ya mwaka 70 huko unafundishwa starter ya 109 rand rover?? hahahahahha
Siyo kweli hizo gari hazina usumbufu wowote ila tu uwe makini wakati wa service
 
mkuu usibishe sana mm nishakutana nazo sana na mwisho kutengeneza nyingine ni jana .kwanza shida ya kwanza spea zake ni mtihani hasa kwenye upande wa hybrid systerm. kibongo bongo unapata wapi spea zake??

mfano na mtihani mgumu ni kuwa betri za HV zikiisha chaji utazichajije?? na wapi unachaji?/
 
zipo mkuu mwis
Hybrid cars hazihitaji mafundi uchwara. Ila naamini miaka inavyokwenda watu wataanza kuzutumia hapa Tz.
zipo mkuu mwisho jana mm kuna moja nimeitengeneza ni estima ilikuwa imekufa motor ya inverter hivyo gari ulikuwa ukitembea nayo ikipata moto inazimika sababu mfumo wa cooling upande wa inverter haufanyi kazi. changamoto kubwa ni spea za hizo gari lkn kama kuna mtu atakuwa anahitaji betri za hybrid,ecu betri n.k vipo anitafute
 
MKUU SIKUSHAURI kabisa ununue hizo gari sababu kubwa ni spea mm nishakutana nazo kama 7 hivi na zote mpaka kufikia kuharibika ni kisa kimoja 2.ile gari huwa ina kuwa na betri 2 ya kawaida mbele na nyuma kunakuwa na betri kubwaa ya hybrid .

tatizo huwalinakuwa betri ya haybrid ikiisha charge hapo ndio kwisha kazi.maana huwa inachajiwa na mashine maalum kwa wenzetu ukiingia kwenye vituo vya kujazia mafuta huwa kunakuwa na cable kwaajili ya kucharge betri kuna soket unachomeka kama unajaza mafuta vile.

mm nilitegemea TOYOTA tanzania labda wangekuwa na hizo mashine lkn hakuna betri ya hybrid ikiisha basi gari haiwezi kuwaka tena.kuna gari tulihangaika nayo sana kujaribu kucharge hizo betri kwa njia ya kucharge cell moja moja tukafika kwenye gari tukaweka ikazunguka mara moja tuu na zikaenda down.

na hata hivyo wataalam wakutengeneza hizo gari nao ni shidaa.
mm nashangaa sijui kwa nn toyota wasingekuwa wanaendesha mafunzo kwa mafundi wanao taka kujiendeleza ili iwe rahisi mafundi kurekebisha gari zao??

mfano now gari za D4 zinaonekana kama kimeo sana wakati sio kweli kbs badala ya kufundisha watu jinsi ya kuzirekebisha wao wapo kimyaa tuu.

kwanza tanzania hakuna chuo cha kufundisha ufundi huko VETA ukienda wanafundisha magari ya mwaka 70 huko unafundishwa starter ya 109 rand rover?? hahahahahha
We ni muongo sijawai ona. Nani alikwambia Prius ina Plug in? Inahtaji sehem ya kuchaji?

Ebu kajielimishe sana kuhusu hizi gari ndio uje udanganye watu hapa
 
Kwahiyo huyu mwana anatulisha matango pori
100% mkuu, we jiulize kama lazima upate pakuchaji hybrid zilizopo bongo wanachaji wapi. Prius sio electric hybrid system ni hydralic hybrid. Haihtaji plus in

Ina bettry inajichaji kwa mfumo wa brake nk na inapokuwa haijaingage umeme inatumia mafuta kama kawaida
Ni sawa na Honda insight, Civic hybrid nk nk
 
hizi gari ni nzuri kwa fuel
consumption baadhi 1L inaenda
mpaka 56km, inategemea na jinsi
unavyoliendesha kwasababu kama
unaendelesha below 60 or 40km/h
(sina uhakika) linatumia umeme
hivyo una save fuel lakini sijajua
gharama ya maintanance ya huo
mfumo especially durability and
cost of repalacing new battery.

wewe epson sa kusema kuwa speed below 60 zinatumia umeme unadhan hizo betr haziishi ?? ingewa hivo tungeenda na speed hiyo had mikoan ili tutumie tu betri

unadhan betr zinatoa wap umeme kama sio engine inafua na kuchaj betri inshort km hizo hazifiki kwa lita
 
Hiz gari battery ikijichaji nakuwa full basi ina engage umeme, ina maana ukiwa katika trip za town tu utajikuta inatumia umeme peke yake. Sasa ukiwa unakimbia high way ambako ufungi brake mara kwa mara betri inapoisha gari ina engage mafuta wakati huo betri inajazwa tena. Ikijaa gari inarudi kwenye umeme.

Betri life span ya prius hailalamikiwi sana wengi walioripoti kufa kwa betri ni wale wanaoendesha chini ya dakika au mwendo mfupi sana kwa siku.

Kwa mfano wale wanaonunua gari mpya kuna walio na zaidi ya kilometer laki 2+ na betri hazijafa

Wapo pia ziliokufa wakiwa na 80k kilometer. Ila katika incidence nyingi wapo walioripoti betri kufa kumbe nikutozichaji vema. Yan betri inaisha alafu mtu anatembea mita 200 anapaki gari betri inakuwa haijajichaji kisha inakufa au anadhani imekufa.

Wataalam wanashauri kuitembeza kweli ili ikae sawa
 
Haya maelezo yako ni ya kuamini huyo jamaa alitulisha matango pori
 
mkuu usibishe sana mm nishakutana nazo sana na mwisho kutengeneza nyingine ni jana .kwanza shida ya kwanza spea zake ni mtihani hasa kwenye upande wa hybrid systerm. kibongo bongo unapata wapi spea zake??

mfano na mtihani mgumu ni kuwa betri za HV zikiisha chaji utazichajije?? na wapi unachaji?/
Lege umekua mchangiaji na mweledi sana wa suala la magari na ufundi, samahani nakutoa kidogo kwenye maada kuu ila umetaja suala la spea, kwa uzoefu wako....vipi spea na mafundi wa boxer engine subaru I mean upatikanaje wake na mafundi kwa bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom