Je, wewe ni muhanga wa Gharama za spea za Hybrid Cars?

new generation

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
814
1,629
Hello my good people, natumia gari ya hybrid (Toyota Prius) sasa juzi nilipatwa na changamoto moto ya kuharibikiwa na auxiliary electric water pump inayo zungusha maji ya kupoza inverter na gearbox.

Ee bwana ee kipampu kidogo sana but jamaa wakanipa quotation ya bei eti laki tano nikashangaa, nkauliza why that price wakasema wananunua kwa price ya juu huko vinako toka, wakesema used ni 450k bado nikashangaa, yaan bei ambayo unanunulia gear box ya Gari ndo unanua pump.

But just kwakua mie na DIY person (mtu ninae tengeneza vitu vyangu mwenyewe) ikabidi nitafute solution ya kupata hii pump kwa bei rahisi, kumbuka hii pump ni ya umeme yaan kazi yake ni kuzungusha maji tu nothing else, so meaning any electric pump ili mradi ni ya volts 12 itafanya same job. So nakenda mtandaoni (kikuu) nikaagiza pump ya dc 12 kwa shinlingi 17,000( elfu kumi na saba) ambayo ntaisubiri na ntakuja ku install, but wakati nasubiri hii pump, nimepata auxiliary electric pump nyingine pale tandale inaYofungwa kwenye vw, kwa 20,000 nimefunga na maisha yamekua safi. Kabisa.

Sasa nini maana ya huu uzi?
Ni hivi ukiwa ni mtu mdadisi na unafatilia vitu na you take your time kutafuta information basi costs nyingi za ku maintain hybrid car uzipunguza, yet hybrid car ina less maintenance costs kwakua ina less regular services ukilinganisha na Gari yakawaida.

But kwakua kibongo bongo wstu hutumia ignorance ya mteja kumpiga bei basi unaweza ichukia gari.
===
1679318441912.png
 
Hii ndo quotation niliyopataView attachment 2559080
Na hii ni alternative pump serving same purpose ya ku pump maji at that price..na ina brushless motor for smooth and long life Operation.. but ndo hivo..

Na for more info hii pump ndo utaikuta kwenye gari zote za hybrid (hii pump ni auxiliary water pump inapoza inverter na gearbox...
Screenshot_20230320-145617.jpg
 
Hello my good people, natumia gari ya hybrid (Toyota Prius) sasa juzi nilipatwa na changamoto moto ya kuharibikiwa na auxiliary electric water pump inayo zungusha maji ya kupoza inverter na gearbox.

Ee bwana ee kipampu kidogo sana but jamaa wakanipa quotation ya bei eti laki tano nikashangaa, nkauliza why that price wakasema wananunua kwa price ya juu huko vinako toka, wakesema used ni 450k bado nikashangaa, yaan bei ambayo unanunulia gear box ya Gari ndo unanua pump.

But just kwakua mie na DIY person (mtu ninae tengeneza vitu vyangu mwenyewe) ikabidi nitafute solution ya kupata hii pump kwa bei rahisi, kumbuka hii pump ni ya umeme yaan kazi yake ni kuzungusha maji tu nothing else, so meaning any electric pump ili mradi ni ya volts 12 itafanya same job. So nakenda mtandaoni (kikuu) nikaagiza pump ya dc 12 kwa shinlingi 17,000( elfu kumi na saba) ambayo ntaisubiri na ntakuja ku install, but wakati nasubiri hii pump, nimepata auxiliary electric pump nyingine pale tandale inaYofungwa kwenye vw, kwa 20,000 nimefunga na maisha yamekua safi. Kabisa.

Sasa nini maana ya huu uzi?
Ni hivi ukiwa ni mtu mdadisi na unafatilia vitu na you take your time kutafuta information basi costs nyingi za ku maintain hybrid car uzipunguza, yet hybrid car ina less maintenance costs kwakua ina less regular services ukilinganisha na Gari yakawaida.

But kwakua kibongo bongo wstu hutumia ignorance ya mteja kumpiga bei basi unaweza ichukia gari.
===
Vp battery haijawahi kufa,

Battery ikiwa full unaweza pata au tembea km ngap kabla battery hazijawa down kufanya engine Iwake tena
 
Kwa ujumla inakupa umbali gani kwa lita
 
Na hii ni alternative pump serving same purpose ya ku pump maji at that price..na ina brushless motor for smooth and long life Operation.. but ndo hivo..

Na for more info hii pump ndo utaikuta kwenye gari zote za hybrid (hii pump ni auxiliary water pump inapoza inverter na gearbox...View attachment 2559174
Lita 350 kwa saa🤔 sounds good,

Hivi hi inaweza pandisha maji kwa distance ya mita 2.5
 
Na hii ni alternative pump serving same purpose ya ku pump maji at that price..na ina brushless motor for smooth and long life Operation.. but ndo hivo..

Na for more info hii pump ndo utaikuta kwenye gari zote za hybrid (hii pump ni auxiliary water pump inapoza inverter na gearbox...View attachment 2559174
Kikuu walikufikishia baada ya muda gani tangu ulipoagiza?
 
Back
Top Bottom