Siku moja nikiwa na watu wangu wa kitaa, waliniforce tukazunguke zunguke kubadilisha tu hali ya hewa,.
Siku hio sikuwa poa sana nilikuwa kwenye hali flani ya kauvivu uvivu iv, lakn kutokana ba kampani yao tukasepa, sasa kufika maeneo flani ivi ya kujidai, tukasikia makelele kibao.
Watu wamepiga vyombo vyao wanashangilia mbaya, moyoni nikasema ohhh bora nimekuja naona leo pamechangamka mbaya ningekosa uhondo wa leo.
Wakati tunasogea karibu na hio bar, makelele ndo yanazidi, tukaingia ndani kujumuika.
Alahaullaaaa Nilishangaa kuona walevi wamemparamia shangazi yangu flani ivi kila mtu ameshika anapojua yeye, alaf shangazi anapiga kelele za furaha kinoma,
Nilichosikia akisema ni , nmwaga namwaga.
Daadeki nilipatwa sijui na wenge gani nikageuka bila kuaga mtu nakurudi zangu home nikalala.
Kesho yake shangazi akaja kusalimia home, hajui mm nilimuina usiku akishikwashikwa, nikajisemea mwenyewe Shangazi ni Shangazi hata awe vip.