Umewahi kwenda Visiting Day Shule ya Boarding(Bweni)

Umewahi kwenda Visiting Day Shule ya Boarding(Bweni)

dah nakumbuka enzi zile nilikua nasoma uganda,tulikua watz watatu kwenye hiyo shule,basi visting day tulikua tunatia huruma balaa,mpka ajitokeze mzazi mmoja wakiganda akuite kwa huruma na wewe unaita wenzako bas mnakula hatavipaja vya kuku maisha yanaenda.
 
Chanzo kikuu cha watoto kuharibika ni shule za boardiing hata zile za madhehebu tofauti tofauti ya kiimani nazo ni hayohayo tu, hazina usalama.

Shule za boarding Tanzanja ni majanga makubwa kwa vizazi vyetu. Maadili zero.

Kuna jirani yangu Dar analia na kujuta kwanini alimpeleka mwanae boarding. Inasikitisha sana.
... alimpeleka shule gani?
 
Sie wa enzi zile tulikua hatufanyiwi visitingi kwanza wengine tulikua hatutaki kabisa kusikia mzazi anakuja shule unakosomea sababu angemezeshwa sumu nyingi na waalimu kuhusu wewe
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Visiting day! mimi toka sekondari sikuwahi kutembelewa na wazazi wala ndugu yoyote shuleni na hata kuchukuliwa matokeo nilikuwa nadandia wazazi wa wenzangu. Hizo mambo za kutembelewa shuleni nafikiri ni kwa watoto wa kike ambao wanalelewa kama mayai
 
Kwenda Visiting day boarding school au Shule ya Bweni Dar inabidi ujipange sana.je Nini kinapelekea wazazi au ndugu kwenda na vitu vingi kiasi kile,yaani chakula.vinywaji na vingine vingi kwa mtoto mmoja na mtoto mwenyewe wala hababaiki na hicho chakula.watu kweli wanafanya kufuru Sana wakati unakuta wanaosoma kayumba hata hicho chakula hawapati.Dunia haina huruma Kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
lakin ni huko dar but arusha huku mambo ni mukidee, visiting day unakutana na msosi full yan kama tupo kwenye sherehe.
 
Kuna moja walikuja na mc wao,vyakula,tents,vinywaji,ajabu umeme ukakatika,kilicho niacha hoi KUMBE WALIKUA NA KA GENERETA KAO KABISA,JAMANI KUFURU HIZI.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha na mc na generator ...!! Kweli this is Africa
 
Chanzo kikuu cha watoto kuharibika ni shule za boardiing hata zile za madhehebu tofauti tofauti ya kiimani nazo ni hayohayo tu, hazina usalama.

Shule za boarding Tanzanja ni majanga makubwa kwa vizazi vyetu. Maadili zero.

Kuna jirani yangu Dar analia na kujuta kwanini alimpeleka mwanae boarding. Inasikitisha sana.
GLBT huanziaga huko
 
Kuna moja walikuja na mc wao,vyakula,tents,vinywaji,ajabu umeme ukakatika,kilicho niacha hoi KUMBE WALIKUA NA KA GENERETA KAO KABISA,JAMANI KUFURU HIZI.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha mkuu standardya maisha imetofautiana, wewe uliona kama ni kufuru kumbe kwao ni kawaida sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanzo kikuu cha watoto kuharibika ni shule za boardiing hata zile za madhehebu tofauti tofauti ya kiimani nazo ni hayohayo tu, hazina usalama.

Shule za boarding Tanzanja ni majanga makubwa kwa vizazi vyetu. Maadili zero.

Kuna jirani yangu Dar analia na kujuta kwanini alimpeleka mwanae boarding. Inasikitisha sana.
Unaongea tu kinadharia may be kwa sababu hujawahi soma boarding. Hakuna shule nzuri ya kupeleka mtoto kama shule ya boarding. Kule mtoto anatuliza mawazo na kusoma pia anajifunza maisha...
 
Kuna moja walikuja na mc wao,vyakula,tents,vinywaji,ajabu umeme ukakatika,kilicho niacha hoi KUMBE WALIKUA NA KA GENERETA KAO KABISA,JAMANI KUFURU HIZI.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo itakuwa birthday sio visiting. Tupunguze fix wadau wengine watu wazima humu
 
Mzazi anapeleka chakula kingi kwakua anajua mwanae atakula na wenzie wasiotembelewa na wazazi, kama ulisoma bording nadhani unajua kuna wale wazamiaji wa percels kwenye v day

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha hapa umenigusa mkuu, wengine yani kuna jamaa alikua analetewa kiti moto kwenye ndoo ya lita 20 basi sisi tusiovisitiwa ndio tulikua tunaponea hapo[emoji23][emoji23] na alkua anafanya hivyo kila mwezi. Kwahivyo vile vitu wala havibaki wala kutupwa maana sio wote hutembelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto wa siku hizi wanasoma ki star sana hadi wanavizitiwa aisee...

Sent using Jamii Forums mobile app
...Umelonga neno jema sana mkuu! Kumbuka zile enzi zetu mtu unasoma Songea Boys halafu kwenu Mlalo Lushoto ama Tarime Mara! Nani atakuja kukuvisit!
Ukitoka nyumbani January imetoka hiyo hadi June!
Haishangazi waliosoma nyakati zile ni Wagumu aina fulani hivi...!![emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakumbuka miaka hiyoooo Moro sex visiting day Ilikua ni show off tu kama hukuwa na bwana....... ... especially kwa advance girls .... jioni jioni kuanzia saa 12 unawakuta watu kwenye engo, wengine madizini huko mara kwenye magari mweh.....

sanasanaa wanafunzi wanapenda kubadilisha menu.. na kuachiwa mshiko tu nothing else.

cc Smart911
 
Back
Top Bottom