Umewahi kwenda Visiting Day Shule ya Boarding(Bweni)

Niliwahi kutana na Prof Ndalichako na Dr. Mpango huko Morogoro kwenye shule fulani,nikimtembelea mtoto wangu. Walikuwa "full loaded" kama wanaenda "camping".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi' nakumbuka, kwenye mwaka 1988+ nilienda kule Nganza Girls Seco Mwanza mjini, kumsindikiza rafiki yangu ambaye alikuwa na Demu wake pale. Kwa kweli pilika pilika za wageni waliokwenda kutembelea pale zilikuwa nyingi sana! Wengine walienda na chakula, ambacho walikuwa wanakula pamoja na hao wanafunzi.
 
Kwenda Visiting day boarding school au Shule ya Bweni Dar inabidi ujipange sana.je Nini kinapelekea wazazi au ndugu kwenda na vitu vingi kiasi kile,yaani chakula.vinywaji na vingine vingi kwa mtoto mmoja na mtoto mwenyewe wala hababaiki na hicho chakula.watu kweli wanafanya kufuru Sana wakati unakuta wanaosoma kayumba hata hicho chakula hawapati.Dunia haina huruma Kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi wanangu ni wa kishua, sitegemei ateseke na vyakula huko shuleni boarding then siku nakuja kumtembelea nije kimaskini eti kisa watoto wa aina fulani hawavipati alafu na mie nisimpatie mwanangu...that's foolishness, niache nimpelekee hata katon dazeni, kwangu moyoni nitakuwa na furaha na amani.
 
Kwenda Visiting day boarding school au Shule ya Bweni Dar inabidi ujipange sana.je Nini kinapelekea wazazi au ndugu kwenda na vitu vingi kiasi kile,yaani chakula.vinywaji na vingine vingi kwa mtoto mmoja na mtoto mwenyewe wala hababaiki na hicho chakula.watu kweli wanafanya kufuru Sana wakati unakuta wanaosoma kayumba hata hicho chakula hawapati.Dunia haina huruma Kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hukuwahi kusoma boarding wewe. Umesoma tu senti kayumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanzo kikuu cha watoto kuharibika ni shule za boardiing hata zile za madhehebu tofauti tofauti ya kiimani nazo ni hayohayo tu, hazina usalama.

Shule za boarding Tanzanja ni majanga makubwa kwa vizazi vyetu. Maadili zero.

Kuna jirani yangu Dar analia na kujuta kwanini alimpeleka mwanae boarding. Inasikitisha sana.
Ukitaka tuwapeleke wapi

Jirani yako matatizo yalianzia kwake sio boarding

Halafu ni mmoja kati ya maelfu usi generalize

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa ndio inawapa kiburi unadhani ukiwa huna pesa utafanya hayo mambo acha pesa itende
 
Chanzo kikuu cha watoto kuharibika ni shule za boardiing hata zile za madhehebu tofauti tofauti ya kiimani nazo ni hayohayo tu, hazina usalama.

Shule za boarding Tanzanja ni majanga makubwa kwa vizazi vyetu. Maadili zero.

Kuna jirani yangu Dar analia na kujuta kwanini alimpeleka mwanae boarding. Inasikitisha sana.
Labda ni zile boarding zenu ambazo, 24hrs zipo busy kufundisha madrsa

Sent using Vertu Signature Cobra
 
Kwenda Visiting day boarding school au Shule ya Bweni Dar inabidi ujipange sana.je Nini kinapelekea wazazi au ndugu kwenda na vitu vingi kiasi kile,yaani chakula.vinywaji na vingine vingi kwa mtoto mmoja na mtoto mwenyewe wala hababaiki na hicho chakula.watu kweli wanafanya kufuru Sana wakati unakuta wanaosoma kayumba hata hicho chakula hawapati.Dunia haina huruma Kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shuleni kwangu marufuku kuleta vyakula vya kupikwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heee
Sasa mtu asioneshe mapenzi ƙwa mwanae alieƙo mɓali
Hivi mƙuu unajua watoto boarɗing wanaƙula nini?
Sasa ƙama mtoto anapenɗa biriani alizoea ƙupiƙiwa na mamaƙe nƴumbani..ujue boarɗing hawpiƙi
Ƙwahiƴo mama aƙiamua ƙumpiƙia ɓiryani poti zima mara moja ƙwa mwezi nyo ni ƙufuru?
Naam hata mtoro asipoƙimaliza mraɗi ƙafurahia.
Pili shule za boarɗ kwenƴe visiting day mzazi anataƙiwa apeleƙe ƙatoni ƴa juice ama soft drink ƴoƴote ƙwa mwanae

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli mkuu kwamba hizo shule hawapiki vyakula ulivyovitaja kuna shule moja anasoma dogo wanapikiwa kila aina ya chakula unachopika nyumbani hivyo hakuna jipya kwa kijana unayempelekea vyakula hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heee
Sasa mtu asioneshe mapenzi ƙwa mwanae alieƙo mɓali
Hivi mƙuu unajua watoto boarɗing wanaƙula nini?
Sasa ƙama mtoto anapenɗa biriani alizoea ƙupiƙiwa na mamaƙe nƴumbani..ujue boarɗing hawpiƙi
Ƙwahiƴo mama aƙiamua ƙumpiƙia ɓiryani poti zima mara moja ƙwa mwezi nyo ni ƙufuru?
Naam hata mtoro asipoƙimaliza mraɗi ƙafurahia.
Pili shule za boarɗ kwenƴe visiting day mzazi anataƙiwa apeleƙe ƙatoni ƴa juice ama soft drink ƴoƴote ƙwa mwanae

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeweka na kiunganishi hapo NYO kwa msisitizo kabisa[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanzo kikuu cha watoto kuharibika ni shule za boardiing hata zile za madhehebu tofauti tofauti ya kiimani nazo ni hayohayo tu, hazina usalama.

Shule za boarding Tanzanja ni majanga makubwa kwa vizazi vyetu. Maadili zero.

Kuna jirani yangu Dar analia na kujuta kwanini alimpeleka mwanae boarding. Inasikitisha sana.
Hata madrasa zinaharibu watoto pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom