Umewahi Kuwekwa Lockup (Lupango)?

Niliwekwa lock up pale mbezi kwa Yusuph daah lockup isikie kwa mwingine.
 
Mi nashauri kama hujawekwa hata mahabusu kwa siku mbili tatu,ufanye lolote uende maana kule ndani utapata knowledge ambayo hutopata popote duniani.
Utakutana na watu wenye maono na mitizamo mb Ali mbali
Yaani ukitoka pale unakuwa mpyaa
 
Umewahi kuwekwa korokoroni, Mahabusu, au kuhukumia kabisa?

Hebu tushirikishe, ilikuwaje.
Binafsi nimewahi kukaa Mahabusu mara kadhaa.
Nitaelezea....
Ndichi,sero,sege dansi,ubaya ubayani..noma siku moja tu lakini ilikua kama wiki.hatare sana hakuna hata kujua ni saa ngapi humo.
 
Nakumbuka mwaka 2012 nikiwa Sumbawanga nilikuwa maeneo ya majengo jamaa walinikuta kwny nyumba ya mm angu mkbw wakatukamata kufika kule wakatubambikizia kesi ya uzembe na uzurulaji na nilikuwa siku ya jmosi ikabidi nilale nikatoka jpili ila kule sio kuzuri ndg zangu usiombee kwenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji848] waliwaonea sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…