Hamna vifungo vibaya kama vifungo vya nafsi. Wengi wamo kwenye vifungo vya nafsi, hilo jela mpaka uje ujikomboe ni mpaka kwa nguvu nyingi ya juu zaidi.
Hata week iliyopita nimetoka huko..yani kule nishakuzoea
Mtata sana mkuuMara moja nilimpa kipigo hawara wangu wa zamani mpk akazima mabaunsa wa club wakanikabidhi kwa polisi
Ya pili niligombana na trafik mpk tukashikana mashati nikapelekwa central kule chini nikalala
Mh shemHata week iliyopita nimetoka huko..yani kule nishakuzoea
Weee nawe?? MweeeNiliponea chupuchupu.
Kweli mkuuHamna vifungo vibaya kama vifungo vya nafsi. Wengi wamo kwenye vifungo vya nafsi, hilo jela mpaka uje ujikomboe ni mpaka kwa nguvu nyingi ya juu zaidi.
Acha tuWeee nawe?? Mweee
Sipatiii picha ulivyoweweseka kama kinda hahaha ...Acha tu
Sikuweweseka hata coz nilishajua ninachofanya matokeo yake yatakua vipiSipatiii picha ulivyoweweseka kama kinda hahaha ...
I wish ningekua IGP ,ungelala ..ngoja nikutafutie lockup tulale wawiliSikuweweseka hata coz nilishajua ninachofanya matokeo yake yatakua vipi
Hahah..embu niwache mieI wish ningekua IGP ,ungelala ..ngoja nikutafutie lockup tulale wawili
Nitakuacha asubuh ya kutoka lockup yawakubwaHahah..embu niwache mie
Nyau wehNitakuacha asubuh ya kutoka lockup yawakubwa