Umewahi Kuwekwa Lockup (Lupango)?

Umewahi Kuwekwa Lockup (Lupango)?

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,239
Reaction score
17,677
Umewahi kuwekwa korokoroni, Mahabusu, au kuhukumia kabisa?

Hebu tushirikishe, ilikuwaje.
Binafsi nimewahi kukaa Mahabusu mara kadhaa.
Nitaelezea....
 
Nilikoswa koswa kidogo sana nilishaambiwa vua mkanda,vua viatu ile nakaribia kuambiwa ingia humu brother akatokea tukayamaliza.

Long time ago ila hawa wakusoma ni hatari sanaaa lakini ata hivyo nisingejilaumu maana mtoto alikuwa ni mkaleee kinyamaaaaaaa.
 
Aisee mkuu ulifanya kauzembe.
Kwenda Mahabusu kwasababu ya wakusoma
 
Nilikoswa koswa kidogo sana nilishaambiwa vua mkanda,vua viatu ile nakaribia kuambiwa ingia humu brother akatokea tukayamaliza.

Long time ago ila hawa wakusoma ni hatari sanaaa lakini ata hivyo nisingejilaumu maana mtoto alikuwa ni mkaleee kinyamaaaaaaa.
Muwe mnaangalia vitu vya kuwapeleka polisi, kwa issue ya uzinzi ni upumbavu!!
 
Yaani hata kujulikana tu kwa sababu ya mwanafunzi ni uzembe mkuu
Tatizo pigo zake sikujua kama wakusoma si unajua huku town mzee baba mtoto akipita kitaaa amenona kumbe wa kiskuli mzee kuja kujua it's too late msala umeshapiga hodi.
 
Back
Top Bottom