Umewahi kuwa dilemma?

Nimeelezea sana, anachodai yeye ni kuwa kama rafiki yake nilipaswa kumueleza no matter what[emoji134][emoji134][emoji134]
Huyo nae sasa ungemwambia wewe ingebadilisha nini?
 
Huyo wa kike wala hutakiwi kuhangaika naye.

Frank umeshindwa kumwaminisha ulipaswa uwe na mipaka kwenye mahusiano yao?
 
Huyo wa kike wala hutakiwi kuhangaika naye.

Frank umeshindwa kumwaminisha ulipaswa uwe na mipaka kwenye mahusiano yao?
Ni kama anatafuta wa kumlaumu tu basi ndicho nilichoona.
 
Kwakweli ngoja niwe msomaji tu hii ngumu kumeza
 
Ila nawe kama ulikuwa una report report tuvitu ukaamua kumfichia shoga ako.

Ulinywe...maana utakuwa biased.
 
Hatafuti wa kumlaumu ila alikuamini sasa anaona umemwangusha. Mwonyeshe pia ulimwamini angeweza kuendesha mahusiano yake pasipo wewe kuyaingilia.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Will try this.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…