Umewahi kutumia hizi

Umewahi kutumia hizi

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
259
Kama umewahi kutumia sarafu hizi basi ni jambo la kumshukuru Mungu kwani kama hakuna tatizo kama ni Mwanaume sasa hivi wewe ni Baba na kama ni Mwanamke sasa hivi wewe ni Mama, Hongera!!
 

Attachments

  • sarafu.jpg
    sarafu.jpg
    11.4 KB · Views: 402
Kama umewahi kutumia sarafu hizi basi ni jambo la kumshukuru Mungu kwani kama hakuna tatizo kama ni Mwanaume sasa hivi wewe ni Baba na kama ni Mwanamke sasa hivi wewe ni Mama, Hongera!!


Mkuu Mie nimezitumia zote hizi zilikuwa zinatumika in 1980's
 
Ile yenye tobo kati mbona hujaweka...au waliotumia ile ni bibi na babu...
 
Kama umewahi kutumia sarafu hizi basi ni jambo la kumshukuru Mungu kwani kama hakuna tatizo kama ni Mwanaume sasa hivi wewe ni Baba na kama ni Mwanamke sasa hivi wewe ni Mama, Hongera!!

Pamoja na kuzitumia kwa sana, bado ninazo chache zilizobakia enzi hizo, those good old days......
 
Nipe shikamoo yangu maana nimezitumia sana 70's to 80's
 
Heri yenu me nimeishia kuziona tu kwenye droo ya kabati la bibi
 
Kama umewahi kutumia sarafu hizi basi ni jambo la kumshukuru Mungu kwani kama hakuna tatizo kama ni Mwanaume sasa hivi wewe ni Baba na kama ni Mwanamke sasa hivi wewe ni Mama, Hongera!!
Wakati nilikuwa ninazitumia hizi pesa zilikuwa na thamani kubwa sio hivi sasa pesa ya Ki-Tanzania kama ni makaratasi ya magazeti pesa ya Ki-Tanzania haina thamani pesa ya machungwa mimi ninaiita hivyo. mkuu kakuruvi
 
Nilikuwa nazifunga shingoni kisha nawatishia wababe wa mtaa kuwa wakinizingua ntawaroga
hadi leo kuna watu bado wanawafunga watoto wadogo mikononi na shingoni, sijui ni kinga ama sijui ni kuwatisha watu, ah wanajua wenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom