Umewahi kutana na mwanamke wa hivi?

Umewahi kutana na mwanamke wa hivi?

Ninahitaji mkuu sema hivi, anayekuja Kama mpenzi nitampokea Kama mpenzi na sio rafiki na anayekuja Kama rafiki nitampokea Kama rafiki na sio mpenzi, sasa shida inaweza kuja pale huyu mwanamme akitaka kubadilisha kusudi la yeye kuja kwangu, kwa kweli sitamuelewa kwa sababu moyo, nafsi,akili, na hisia sijazi tuni/sijazielekeza huko, so hapo lazima tutofautiane kwa kweli
Kwahyo hautaki kutongozwa ? We utaki kuolewa bibie

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom