Umewahi kutana na mwanamke wa hivi?

Umewahi kutana na mwanamke wa hivi?

Mkuu yaani hao wanawake ndio Mimi kabisa, Mimi nikimpenda mwanamme ili awe rafiki yangu ujue nampenda kikwelikweli, Ila siku akinitongoza ndo itakuwa mwisho wa kumpenda na mwisho wa urafiki, hadi sasa Nina marafiki 2 tu wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kipindi Cha umri huo Kuna kademu kalikua kanapenda michezo ya gizani ile umeme umekatika tu kana nivuta pembezoni mwa choo au stoo kana Anza kunivua kaptura yangu nakuanza kuchezea fushe langu kipindi hicho si dindishi kabisa kalikua kanapenda huo mchezo Sana sijui nani alikafundisha ikawa tumetengana Mambo ya shule na Nini baada ya kukutana nae miaka 22 nikamuomba turudie ule mchezo wetu alinikana kabisa Cha ajabu alijuaje alichokuwa ana kifanya kipindi kile siku hizi ameolewa na masai mmoja Kama mke mdogi na maisha yaanaendelea wakati Mimi bado Niko single leo wanawake bhana!
 
Wasalaam
Nikiwa na miaka 10,Kuna binti alikua anakuja nyumbani kucheza na ndugu wa kike

Mara nyingi kalionesha viashiria vya kunipenda Sana Kama kuniletea tuvyakula au matunda kutoka kwao,lakini katika michezo iliyojumuisha jinsi zote kalipenda kuwa timu Mimi

Kuna muda kalinirukia na kunikumbatia,utoto wangu nilichukia na kukafokea...muda kaliniangalia kakawa Kama kanalia,haitoshi kaliwatuma sista zangu wanambie

Sasa Kuna muda nami nkaanza kukaelewa,basi nkasema niandike barua,kwa sababu tulikua shule moja,madarasa tofauti,nilikaazima daftari lake,then kurudisha nkaweka na barua,loh...natoka darasani nikakuta kanalia kamezungukwa na watu wengi kweli huku kameshika ile barua yangu,wanajadili waende kwa mwalimu au waende nyumbani kwetu,mzee mkali kweli..?

Nashukuru msala uliisha salama...tukawa maadui kweli ,sijui kako wapi siku hizi



Mwingine chuo,nimesoma kipindi hicho chuo Fulani maarufu Sana mjini(DSM)...katikati kabisa ya jiji,sifa za chuo hicho zilinifanya kuchukia tahadhari,ikiwa Ni pamoja na kukaa mbali na madem lakini starehe pia


Nilifanya mkakati wa kujibrand Kama mshamba na nilifanikiwa,wakati wenzangu wanapiga pamba Safi,mi nilipiga mashati yangu ya kitenge na wakati mwingine sare za kwaya(Napenda kwaya nilikua naimba kwaya)...nkasema ntakaa mbele na urafiki na wahuni sitaki


Kweli nilikutana na mazingira niliyotegemea

Kuna Dada mmoja alikua mzuri sana ku attract/ku draw attention ya watu wengi

Huyu Dada Kuna siku nimekaa alone na solve,nkashangaa Yuko mbele angu ananiangalia muangalio sio wa kawaida... session ya mchana naingia natafuta siti,nkashangaa ananielekeza sehem ya kukaa,keshawahi siti mbili,hapa na hapa kaanza kuniomba nimsaidie vimaswali viwili vitatu,now act siko vizuri,kumbe ananichora,demu alikua kafanya EGM Yuko vizuri maths...

Hapa na hapa kaniomba no. Ya simu...sms za usiku mwema na mbwembwe zikawa nyingi,wanasema hakuna mkate mgumu mbele ya chai...akawa akinikuta na Dem mwingine ana mind Hadi anabadilika rangi...muda wote huo mi nilikua namvutia pumzi

Boom langu lilikua halijatoka,akawa ananipa kampani kweli kwa issue za stationery na msosi lakini hata mambo madogo madogo

Shida ikaja siku nilipoamua kujua mstakabari wetu kimahusiano...asee,haikuwa poa ,tuligawana mbao...lakini mwisho wa siku kila mtu alibaki Kama anaumia huku akijifanya jeuri

Ninyi wanawake hiki huwa Ni Nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo wapi kwa sasa ?
 
UDSM bana IFM sema chuo kilicho katikati ya jiji na wadangaji wengi
Acha wivu mkuu

Mastaa wasomi wengi hapa mjini wanatoka IFM au CBE
hence IFM ni maarufu kuliko UDSM a.k.a chuo cha maporini
 
Umenikumbusha mbali hapo kwenye kale kabarua kukaweka ndani ya daftari. Yaani wote ndio tuliijua njia hiyo ya kuifikisha barua yetu. Tatizo kubwa, hao wenzetu tu. Hawakuwa na akili sawa sawa. Miye, aliipeleka uanjani kwenye tea break. Shule nzima yenye watoto zaidi ya 400. Masichana yote yakakusanyika kuisoma ile barua yangu. Kwani maneno yalikuwa mengi basi. Machache tu! ##Nakupenda. Halafu muandiko wa darasa la pili.
Sitasahau aibu iliyonipata. Kila mtu alikuwa adui yangu pale shuleni. Leo sijui kamefia wapi wala sikutamani hata kukaa darasani naye tena.
Mkuu hatari yaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom