King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,077
- 98,336
Natafuta 60.Wow hongera sana wewe na wenzio so wewe una miaka mi ngap ndugu mhenga
We mzee au kijana?๐Hao akina Nchemba ni unfit, wanaendekeza vyakula vya mafuta, na bia za Bure za serekali kwenye fridge. Mimi hayo ya kuvaa miwani kuduwanzi simo.
Na bado upo active safiii ๐ฅ๐ฅ ishiii mzee ila naomba pokea shikamoo yangu umenipita zaidi ya mika 30Natafuta 60.
Nimekuambia mimi 55yrs, ila niko vyedi kinoma. Nyie ni wale mnadhani mkiona watu wako above 50 wanapima sukari, sijui wanasema hawali chumvi, mnadhani wote wamepoteza. Wengine hatujawahi kuvuta bangi/sigara wala kunywa pombe. Na nikiingia kupima afya kote niko poa. Tena bila hata vipimo najiona kabisa naweza mambo mengi na Niko energetic. Tunawatafunia vijana wana miaka 45 wake zao, na wake zao wanalalamika kuwa waume zao hamna kitu. Kumbe waume zao ni kuendekeza mitungi, na stress za hela.We mzee au kijana?
Mbona unanitia mashaka? ๐น๐น
Marhaba ,active sana ,ndiyo maana nashangaa mnavyosema mwenye miaka 55 kachoka wakati mimi bado nipo fiti ,kinachochokesha ni magonjwa ,magonjwa yakikupata at 30s,40's hapo utachoka mapema lakini ukivuka 50 bila magonjwa mbona unatoboa hadi 80 fresh tu kama wasira.Na bado upo active safiii ๐ฅ๐ฅ ishiii mzee ila naomba pokea shikamoo yangu umenipita zaidi ya mika 30
Nakubali aiseee ishi mzee ๐ฅ๐ฅMarhaba ,active sana ,ndiyo maana nashangaa mnavyosema mwenye miaka 55 kachoka wakati mimi bado nipo fiti ,kinachochokesha ni magonjwa ,magonjwa yakikupata at 30s,40's hapo utachoka mapema lakini ukivuka 50 bila magonjwa mbona unatoboa hadi 80 fresh tu kama wasira.
Mzee una mikwara wewe ๐น๐นNimekuambia mimi 55yrs, ila niko vyedi kinoma. Nyie ni wale mnadhani mkiona watu wako above 50 wanapima sukari, sijui wanasema hawali chumvi, mnadhani wote wamepoteza. Wengine hatujawahi kuvuta bangi/sigara wala kunywa pombe. Na nikiingia kupima afya kote niko poa. Tena bila hata vipimo najiona kabisa naweza mambo mengi na Niko energetic. Tunawatafunia vijana wana miaka 45 wake zao, na wake zao wanalalamika kuwa waume zao hamna kitu. Kumbe waume zao ni kuendekeza mitungi, na stress za hela.
Cha ajabu hao wanawake walioko 30 - 45 nao wachovu tu. Bao moja la kibabe nao wako hoi vibaya๐๐. Taarifa zenu tunazo, ndio maana nawaambia muwatishe hao hao wakuja.
๐น๐น๐น๐น Wazee wa JF mmepinda๐๐ Hao akina Nchema ndio hao washamba nakuambia wamekuja mjini ukubwani,wameletwa na elimu wakapata ajira. Akichukua mwanamke anajifanya kumnywea vibia na sijui vumbi la congo, akimaliza lazima apoteze. Mimi sio wa hivyo, mimi nakuvaa mzimamzima, utavalia underwear mlangoni. Wala sinywi, bia sijui kuvuta msuba, sijui vumbi la congo, niko fresh bila kutumia chochote.
Acha tufike kwanza ndo tutajua..!!Wenye umri mdogo wanawaona wenye umri mkubwa kama wamekata ringi flani hivi kwasababu hawajaufikia huo umri ila na wao wakija kuufikia wanakuja kugundua mbona umri mdogo tu.
Inategemea ,magonjwa hayachagui umri ,siku hizi hakuna magonjwa ya wazee wala ya matajiri kama ilivyokuwa zamani kwamba presha na kisukari ni kwa matajiri na nguvu za kiume ni kwa wazee.Ila nyie wazee mna changamoto nyingi za kiafya na nguvu..!!
Siyo mpaka usubiri ufike ,kwani ulivyokuwa una miaka 18 ulikuwa unamchukulia vipi mtu wa miaka 30? Si ulikuwa unaona 30 ni umri mkubwa? The same ulivyo now 30 unavyomchukulia mtu wa 50.Acha tufike kwanza ndo tutajua..!!
Hivi nilishawahi kuweka wazi umri wangu humu? ๐น๐นInategemea ,magonjwa hayachagui umri ,siku hizi hakuna magonjwa ya wazee wala ya matajiri kama ilivyokuwa zamani kwamba presha na kisukari ni kwa matajiri na nguvu za kiume ni kwa wazee.
Nguvu ni maumbile ya mtu ,kuna vijana wadogo tu at 20s wanatumia viagra ,mundende,puturu,vumbi na vitu vinavyofanana na hivyo huku watu wazima above 50 show show mandonga mtu kazi
Siyo mpaka usubiri ufike ,kwani ulivyokuwa una miaka 18 ulikuwa unamchukulia vipi mtu wa miaka 30? Si ulikuwa unaona 30 ni umri mkubwa? The same ulivyo now 30 unavyomchukulia mtu wa 50.
Swala la huo umri ni mfano hata tukisema lets say now u r 15 ,wakati ulipokuwa la kwanza una miaka 6 uliona form 2 wakubwa wenye miaka 15 ,the same now una miaka 15 unaona 30 wakubwa na ukifika 30 utaona wa 50 wakubwa na wewe wa 30(Kwa wakati huo) unajiona mdogo wakati awali ulikuwa unawaona wa 30 ni wakubwa.Hivi nilishawahi kuweka wazi umri wangu humu? ๐น๐น
Naona mmenikomalia kweli hapo kwenye 30 as if mnanijua khaaaaa..!! ๐น๐น๐น
Sasa King unataka kusema wewe una nguvu kama za kijana wa 20s? Unapeleka moto kuwazidi?
Umejipakulia minyama King ๐นSwala la huo umri ni mfano hata tukisema lets say now u r 15 ,wakati ulipokuwa la kwanza una miaka 6 uliona form 2 wakubwa wenye miaka 15 ,the same now una miaka 15 unaona 30 wakubwa na ukifika 30 utaona wa 50 wakubwa na wewe wa 30(Kwa wakati huo) unajiona mdogo wakati awali ulikuwa unawaona wa 30 ni wakubwa.
Watu wanashindwa kuelewa kupeleka Moto ni Sanaa na techniks as long as mashine inasimama basi kuSTAY LONG ni ujuzi ,mimi siwezi kuwasemea wanaume wengine coz sijui perfomance zao ila kwa mimi sioni utofauti ,moto juu ya moto.
Tofautisha kijana wa 20 ambaye hana kazi ,kula kulala na mwanaume wa 50 mwenye majukumu ,chukulia kijana wa 20 ambaye anayeanza mapenzi na mwanamme wa 50 ambaye kashafanyanya hadi anaona hakuna jipya ,kwahiyo hapo siyo swala la performance.
Muulize mtu ambaye ndiyo amenunua gari jipya la kwanza anavyolichukulia ,yaani kila saa anachungulia dirishani kama lipo ,kila siku analipeleka car wash ,ndani manukato yale,kila siku ni cruising safari za hapa na pale kibao ndiyo hao vijana wa 20 wanacyochukulia mapenzi.
Hahaaaa sisi ni wazee wa Minyama kama Kitenge na Zembwela.Umejipakulia minyama King ๐น