Umewahi kusikia mwanaume anamtongoza mkewe?

Umewahi kusikia mwanaume anamtongoza mkewe?

jamaa gia tu anajifanya kama anampenda mkewe ila ni geresha tu jamaa anapiga nje huyo.hata mm ninatumia mbinu hiyo hiyo napiga nje[mchepuko] wife akizingua najifanya kubembeleza kumbe na mm nachoka,
 
ni laivu bila chenga kuwa kuna siku mume anajisikia lakini waifu hajisikii,so mzee unaanza kutupia maneno kama uliyompa enzi zenu hadi anakubali,ni kweli au uwongo?wenye experience jamani
Jamani kama mke hajisiki nenda dukani kanunue zawadi mpe...
 
jamaa gia tu anajifanya kama anampenda mkewe ila ni geresha tu jamaa anapiga nje huyo.hata mm ninatumia mbinu hiyo hiyo napiga nje[mchepuko] wife akizingua najifanya kubembeleza kumbe na mm nachoka,
kiruuuu bora niwe naamka nayo sa kumi na moja naikamua sawa sawa
 
Labd kama anavaaga overall, ss yuko empty, au hata kama ana pichu tu na mikono unayo, chakukufanya utumie mdomo tena nnn, mguse vzur tu utaona ushirikiano
 
j itafutie hii kitu....kubembelezana ndo mahaba ila kutongozana kila mwezi ni upumbavu
Shida ya nini? kama hataki achana nae
Mkuu wapi inapatikana hii nyapu?? Sh ngapi??
 
j itafutie hii kitu....kubembelezana ndo mahaba ila kutongozana kila mwezi ni upumbavu
Shida ya nini? kama hataki achana nae

Aisee Kaboom ile program ya maombi kwa huyu dada nimeachana nayo kabisa.

Nakuachia aisee.
 
Back
Top Bottom