Umewahi kusikia kitu kinaitwa Tego?

Umewahi kusikia kitu kinaitwa Tego?

Kwanini visa vya Watu kinases na tego ni vichache sana? Unaweza kaa miaka minne ukasikia kimoja tu .
1. Siyo waganga wote wanafanya hizo kazi( hapa ni Sawa na kutafuta Dawa za ndagu) na uwe na siri ya kutunza mambo, mganga akishaona wewe ni mtu wa kukurupukia mambo hawezi kukupa mtambo hawa iweje.

2. Wengi wao, hata wakihisi kwenye ndoa kuna usaliti wanaishia kuhifadhi mambo moyoni na kufa nayo kwa sababu labda anampenda sana mke/mme wake

3. Anashindwa kufanya hivyo labda kutokana na heshima aliyonayo hapo mtaan, hivyo kunakuwa na ugumu fulani kufanya hilo suala.
 
Umri wangu sio mdogo, unatosha kabisa kunifanya nami niwe Kamhenga ingawa si Mhenga kamili hivyo kama nyani mzee tu nimekwepa mishale mingi.

Miaka ya 2000+ Nilikuwa Field Lindi, Pitapita ya hapa na pale nikazama kwa mke wa mtu bila kujua (Nilidanganywa) hapo ndo nikakutana na hiyo kitu inaitwa Tego.... Mateso niliyoyapata siwezi kusahau.

Mwanzo nilifikiri ni ugonjwa wa kawaida, Namshukuru daktari mmoja ambaye aliniita chemba na kunieleza wazi kuwa tatizo ninalopambana nalo kwake Si la kawaida hivyo akanisaidia wapi niende, kweli nikapelekwa kijijini (Chiuta) na ndugu wa huyo Daktari. kuhusu mtaalam aliyenitibu kwa sasa ni Marehemu..

TATIZO LILIVYO KUWA.
Nilikuwa nakojoa mkojo mweusi kama oil chafu, nikishakojoa yalikuwa yanafuata maumivu makali ya kiuno na Sehemu za siri zilikuwa zinawaka moto na wakati mwingine kuvimba.

Nje ya yule Daktari, mdogo wake na yule mganga (Marehemu) sijawahi kumueleza yeyote siri hii, Leo naliweka hadharani ili mpate kujifunza maana ni takribani miaka 21 sasa.

Yule mzee alikataa kunisaidia mpaka pale alipojihakikishia kuwa sikutembea makusudi na Mke wa mtu. Mwisho alinionesha majani ambayo siyajui jina ambayo alisema unaweza kutumia kumgundua Mwanamke aliyetegwa.

Muhimu:
Jiepusheni na wake za watu ndugu zangu, kuna watu wanakufa bila kugundua chanzo ni hao wanawake.

Nawatakia usiku mwema.
Umeoa na sasa unatutisha tusimsabahi shemeji.

Mfikishie salaam.😃
 
Nilienda Tanga Miaka mitatu iliyopita huko ndiko nilijua kuhusu hilo neno TEGO.

Kwa kifupi ni kama kifungo huwa anawekewa mwanamke ili asiwe ana tembea na wanaume anaweza kuwa MKE wa mtu au Mwanafunzi wa kike.

Wewe mwanaume ukienda lala naye basi hilo TEGO litakupata.

Hapo hapo utapatwa na maumivu makali sana ya kiuno na sehemu za siri usipo wahi KUTEGUA umaweza kufa bila ya utani, anaye tegua ni aliye liweka mara nyingi ni mzazi au mume wa huyo mke wa mtu.

Ni mambo ya Waganga wa kienyeji ni kama ushirikina fulani hivi.

So waka niambia huko kijijini kwakuwa nilikuwa mgeni basi niwe makini sana niache tabia ya kutembea na wake au watoto za watu.

VIJANA Wengi wamekufa kisa TEGO.
Sometimes inakuwa zinga la dili! Yaani kwa atakaenasa akiomba kuteguliwa anatajiwa gharama ya kikombozi kubwa Kama wale magaidi wa Nigeria wakimteka mtoto wa tajiri.
 
Ukiachana na hayo, kuna hili TEGO, ukitembea na mwanamke aliyetegwa, mwili unakufa gazi
1. Huwezi kuongea lakini unasikia kinachozungumuzwa
2. Huwezi kupumua lakini upo hai,
3. Huwezi kujitikisa, wala kujigeuza,

Watu watazani umekufa kumbe hujafa, hivyo utaenda kuzikwa makaburini wakati bado upo hai 😥😥,
1. Unavyo pelekwa makaburini utasikia na
2. sauti za ndugu jamaa na marafiki wanavyoomboleza utasikia , ila ndo hivyo Huwezi kufanya chocote. R. I. P
Ni hatari sana ndugu zangu wengi wamakonde wamepukutika mno liwale kwa ishu hiyo...katika sehemu ambayo nikienda huwa nazifunga nyeti zangu ni liwale
 
Ukiachana na hayo, kuna hili TEGO, ukitembea na mwanamke aliyetegwa, mwili unakufa gazi
1. Huwezi kuongea lakini unasikia kinachozungumuzwa
2. Huwezi kupumua lakini upo hai,
3. Huwezi kujitikisa, wala kujigeuza,

Watu watazani umekufa kumbe hujafa, hivyo utaenda kuzikwa makaburini wakati bado upo hai 😥😥,
1. Unavyo pelekwa makaburini utasikia na
2. sauti za ndugu jamaa na marafiki wanavyoomboleza utasikia , ila ndo hivyo Huwezi kufanya chocote. R. I. P
Mamaaaa.... Duh, hili kali..linatisha mno
 
Kuna moja linaitwa LUTAMBULILO huku Iringa, hilo unakufa bila kuumwa. Ni pahh, umekwisha.

Kuna dada mmoja mzuri kweli na anajilengesha sana huku mmewe akiwa mkoa mwingine na anamuacha zaidi ya miezi 8, kamanda harudi home. Dada amejawa na kutu na karibia mzigo uzibe, anajilengesha sana niule ila naogopa lutambulilo. Uhai wangu ni muhimu kuliko uzinzi pia nilijiapizaga kutotembea na mke qa mtu kwani wanaume hatupendi kukaa mbali na wake na familia zetu, ila maisha ndio yanatutenga nao.

Tunapambana na maisha. Hata mi naweza safari kwa miezi 3 nje na home, je wangu naye wamlale?
Zee una akili nyingi sana na mimi mke wa mtu hapana kwa kweli
 
Wataalamu wa mambo wanasema jani la mlimao ndo sensor ya kujua kama papuchi imetegwa.

Ukifika eneo la tukio gusisha jani lako kwenye punani, jani likinyauka tu achana na hiyo pusy imetegwa.


Hii ndo mbaya:
Jamaa alikula mke wa mtu, siku zikapita akaona mboo haidindi, akazunguka kwa Wataalamu wakamwambia nenda kamwombe msamaha mwenye mke ndo pona yako, na mwenye mke alikuwa ni jirani yake. Kufika mwenye mke akasema ili jamaa arudi katika hali yake inabidi jamaa (mwenye mke)ambandue jamaa, jamaa akaangua kilio kikubwa sana, hadi ndugu zake waliomsindikiza wakauliza kulikoni ndo jamaa kuwaambia kuwa jamaa anataka amfire ndo apone.
 
Hii ilitokea Temeke miaka kadhaa iliyopita.

Mwamba kampanga mke wa mtu akutane nae guest house,mambo yakatiki jamaa akajilia mzigo.

Baada ya kuwamwaga wazungu sasa,Kila akitaka kuchomoka hawezi. Waliitwa hadi wahudumu kuja "kuwabandua" ,ila hawakubandulika.

Option iliyofata ni kuwapeleka Temeke hospitali wakiwa wamefungwa shuka za gesti Huku wamenga'ang'aniana.

Kesi ilikuja kuamuliwa hospital na mume wa yule mwanamke baada ya kupigiwa sana magoti na watu. Akafanya mauchawi yake wakabanduka.

Tukio lingine linalofanana na hili lilitokea Msasani miaka kama kumi liyopita.

Ogopa sana wake za watu. Hasa watu wa pwani.
Ya Temeke naikumbuka mkuu, watu walitawanywa na Polisi.
 
Back
Top Bottom