Umewahi kusikia kitu kinaitwa Tego?

Umewahi kusikia kitu kinaitwa Tego?

Wataalamu wa mambo wanasema jani la mlimao ndo sensor ya kujua kama papuchi imetegwa.

Ukifika eneo la tukio gusisha jani lako kwenye punani, jani likinyauka tu achana na hiyo pusy imetegwa.


Hii ndo mbaya:
Jamaa alikula mke wa mtu, siku zikapita akaona mboo haidindi, akazunguka kwa Wataalamu wakamwambia nenda kamwombe msamaha mwenye mke ndo pona yako, na mwenye mke alikuwa ni jirani yake. Kufika mwenye mke akasema ili jamaa arudi katika hali yake inabidi jamaa (mwenye mke)ambandue jamaa, jamaa akaangua kilio kikubwa sana, hadi ndugu zake waliomsindikiza wakauliza kulikoni ndo jamaa kuwaambia kuwa jamaa anataka amfire ndo apone.
🤣🤣🤣🤣
Chai..
 
Hayo matego hayafanyi kazi kwa hawa wanasiasa waongo waongo?I wish yangeanza na hao kuliko huko kwa wake za watu.mf.mwanasiasa ukiwaambia watu ntawletea maji ukifika muda hujaweka tego linakukamata.
 
Hii
Ukiachana na hayo, kuna hili TEGO, ukitembea na mwanamke aliyetegwa, mwili unakufa gazi
1. Huwezi kuongea lakini unasikia kinachozungumuzwa
2. Huwezi kupumua lakini upo hai,
3. Huwezi kujitikisa, wala kujigeuza,

Watu watazani umekufa kumbe hujafa, hivyo utaenda kuzikwa makaburini wakati bado upo hai 😥😥,
1. Unavyo pelekwa makaburini utasikia na
2. sauti za ndugu jamaa na marafiki wanavyoomboleza utasikia , ila ndo hivyo Huwezi kufanya chocote. R. I. P
Nilisikia ipo sana maeneo ya iringa
 
Back
Top Bottom