Kuku kishingo
Member
- Jan 9, 2025
- 22
- 35
kawaida tu...ililipia hayo maumivuduh noma sana watu mnapigwa matukio tena kisilence mwendo wa kunyatia
kawaida tu...ililipia hayo maumivuduh noma sana watu mnapigwa matukio tena kisilence mwendo wa kunyatia
Ili nipate na Ukimwi sio unakomaa vipi na mtu hakupend had kaamus kuwa na mtu mwingineUtawaacha wangapi? Ni kukomaa tu
Wengi wa wanaume wa kibongo tuko bize kujadili jinsi wanawake zetu wanavyotusaliti kwa kutembea na wanaume wengine. Kuna vipengele vingine vya mahusiano hamshtuki kuvijadili. Mwanamke anaweza asikusaliti kimapenzi ila akakusaliti kiuchumi, kihisia na kijamii. Anakuja kwenye mahusiano na wewe lengo lake siyo kukupenda kivile, ila ana malengo yake mengine kabisa. Atakuja kuonyesha makucha yake siku malengo yake yakitimiaWanaMMU kwema, natumaini nyote hamjambo, kama hauko poa nakuombea uwe sawa, Amen!
Mapenzi Mapenzi Mapenzi
Kwenye mahusiano huwa inatokea kusaliti na kusalitiwa kimapenzi wengine hadi wanafikia hatua ya kufumaniwa kabisa. Kucheat na kucheatiwa kupo nje nje kwa sasa, kwa sisi wanaume hii kitu inauma sana japo tunajifariji humu eti kuchapiwa kawaida, hamna ukawaida wowote tunajikaza tu kisabuni(simaanishi mambo yale ya sabuni haha)
kuchapiwa kunauma sana kunauma hatari yani ukikumbuka unahisi kama upanga wa moto unapenyezwa moyo, unajikaza tu maana maisha inabidi yaendelee.
1. Umewahi kusalitiwa na mpenzi wako, ilikuaje?
2. Unaweza kumwamini tena mpenziwako uliemfumania?
3. Bila kujali mmeachana au mmerudiana, jeraha la kusalitiwa limepona au bado unaugulia kwa ndani?
"Is it better to have had a good thing(or person) and lost it, or never to have had it?
- Our Mutual Friend, Charles Dickens
Cc: Mapenzi
Ni kweli mkuu sikupingi lakini lengo la uzi ni kujadili usaliti wa kimapenzi, zipo thread za kujadili usaliti wa kiuchumi nakadhalika. Asante kwa maoni yako I appreciate it.Wengi wa wanaume wa kibongo tuko bize kujadili jinsi wanawake zetu wanavyotusaliti kwa kutembea na wanaume wengine. Kuna vipengele vingine vya mahusiano hamshtuki kuvijadili. Mwanamke anaweza asikusaliti kimapenzi ila akakusaliti kiuchumi, kihisia na kijamii. Anakuja kwenye mahusiano na wewe lengo lake siyo kukupenda kivile, ila ana malengo yake mengine kabisa. Atakuja kuonyesha makucha yake siku malengo yake yakitimia
Nilimtext ex wangu kwa namba ngeni kipindi hiko nipo nae.Siku moja nipo kwa ex wangu kitambo hiyo akaenda kufanya mazoezi sasa mie nilimuona anavyotoa password kwenye simu yake alivyoondoka tu nikaikamata simu, nikazama whatsapp nikakuta wadada kama watatu anawasifia na kuwa tongoza juu hata sikumaliza zile text na hapo ikawa mwisho wetu.
Pole sana mkuu, huyo alikuwa anawachanganyaNilimtext ex wangu kwa namba ngeni kipindi hiko nipo nae.
Tukapeana hi, akauliza we nani? Nikamjibu me mpenzi wako kwani hunijui, akasema nambie we nani, nikamuuliza wewe mpenzi wako si unamjua lakini, wewe si fulani akasema ndio.
Nikamwambia mi mpenzi wako kama hunijui fresh, akajibu we ni "fulani" jina alilotaja, mapigo yakaenda kasi nikatokwa jasho, halafu nikatabasamu, sio tabasamu la furaha! Bali la huzuni.
Alitaja jina ambalo sio langu dah! Nikajua ananisaliti na anayempenzi mwingine...
Pole sana, KATAA NDOAAsante mkuu [emoji1488]
Uzuri ni kuwa ndio tulikuwa tumeanza mahusiano, nilikimbia speed 100Kph