Umewahi kukutana na uongo upi humu JF uliokuchekesha sana?

Jf inaongoza jwa uongo,hamuendi mbinguni,kuna mtu anajifanyaga tajiri humu alikuja pm kuomba kazi hata ya kulipwa laki mbili
 
Humu JF mlala hoi n mm tu yan wenzangu utaskia nlchukua gari nkaenda Shopping ,sjui nkamtumia yule dada lak4 ya matumiz aah yaan
😆😆 huku mambo ni moto...... tho nimeongea na  melo December tutakuwa na AGM (annual general meeting) tutakutana members wote wa jf kila mtu aje na ndinga lake
 
Huu uzi umenikumbusha kuna stori moja jamaa alikua anatuhadithia jinsi alivyoanza kuhustle maisha huko machinjioni Dodoma ,,sasa alikua amefikia sehemu akasema siku ya kwanza amepewa kazi ya kuchinja mbuzi akanoa kisu chake vizuri kabisa akamshika mbuzi shingo,,,,,,(alivyokua anatuhadithia simu ikaita akaenda pembeni kidogo )alivyorudi akatuuliza oya wana hivi niliishia wapi tukamuambia uliishia umemshika shingo..sasa jamaa akajichanganya akaendelea sasa nilivyomshika shingo nikaanza kumtomasa yule demu si akalainika pale pale nikamvua nguo....
AISE TULICHEKA SANA SIJAWAHI KUONA MTU MWENYE STORI ZA UONGO DUNIANI KAMA YULE JAMAA,,,ANA UWEZO WA KUTUNGA STORI HAPO HAPO KULINGANA NA MAZINGIRA
 
Kuna watu waongo dunia acha kabisa.
 
😊😊 inawezakana kabisa hata hajawahi kuchinja mbuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom