Umewahi kukosea kutuma Meseji?[emoji53]

Hiyo ya picha nakumbuka miaka hiyoo whatsapp bado,tunachat tu facebook,kuna binti alikuwa anasoma Arusha,hatujawahi kuonana ila kama ujuavyo mambo ya fb mnakuwa wapenzi bila hata kujuana!basi nkamuomba bi dada anitumie jitumbua!bhana weee!dada hajui namna ya kuituma inbox,si akaiweka pale kwenye wall yake!!!mi niingie nichek,nakuta kitu kiko public!!nikampigia chap!dada hajui kufuta!eti akalog out kwamba hawataona!yaan na mapenz yalikufa siku ile ile!!
Hahaaaaaaanaomba jina alilokua anatumia facebook mkuu
 
Mimi nilishatuma picha zangu za uchi kwa mama mdogo ambae tunaheshimiana vibaya sana! Nilikua nachati na mchepuko whatsap nikiwa naelekea bafuni kuoga, mchepuko ukaniambia hebu nikuone. Wakati huo huo mamdogo alikua kanitumia msg kuulizia maendeleo ya nyumba yake ambayo nilikua namsaidia kusimamia. Sijui ni shetani gani aliingia hapo kati nikajikuta zile picha nimetuma kwake tena na maneno ya kimahaba juu. Katika kupaniki badala ya kusema delete to all nikajikuta nime delete kwangu tu.
mara paaap!! Mamdogo kaelewa maneno
 
Hiyo ya picha nakumbuka miaka hiyoo whatsapp bado,tunachat tu facebook,kuna binti alikuwa anasoma Arusha,hatujawahi kuonana ila kama ujuavyo mambo ya fb mnakuwa wapenzi bila hata kujuana!basi nkamuomba bi dada anitumie jitumbua!bhana weee!dada hajui namna ya kuituma inbox,si akaiweka pale kwenye wall yake!!!mi niingie nichek,nakuta kitu kiko public!!nikampigia chap!dada hajui kufuta!eti akalog out kwamba hawataona!yaan na mapenz yalikufa siku ile ile!!
nimecheka jamaniii daaah
 
Hhaahahhahahaah
 
Duh
 
Hahahaahahah dah htr sana
 
Mimi nilimsevu demu jina baya kutokana na usumbufu na kero zake, sasa siku moja nimemtumia nyimbo zinachelewa kufika mtandao unasumbua.

Wakati anaendelea kulalamika mbona simtumii, ikabidi ni-screenshot nimuonyeshe nyimbo zinakuja tatizo ni network. Bila kujua akapokea picha ya screenshot na jina lake
Mbaya sana hiiii...
 
Mimi kuna ndugu yetu aliolewa na alikuwa ana mchepuko.bahati mbaya akakosea msg badala ya kutuma kwa mchepuko akaituma kwa mume wake. Maneno yalikuwa ya kimapenzi. Jamaa kurudi home tu akapewa talaka. Mke alibembeleza jamaa hakukubali. Kutuelezea sababu ya kuachwa hakuna aliemuonea huruma maana huyo mdada alikuwa mtu wa maushungi
 
Ni juzi hapa nimetoka mizunguko yangu kama kawaida nikawa nachart chart na mtoto mzuri ili angalau aje jioni hiyo tupashe kidogo,basi wakati huo huo ikaingia sms ya mtumishi mmoja wa Mungu kanisalimu nami nikamjibu vizuri tu,sasa kumbe nimemtumia ile sms ya binti yeye,na ilikuwa mbayaa mno imejaa matusi!!walah nilitoka mpaka nje nijaribu kama ntaweza kuizuia lakini wapiiii!!na yeye hajanitafuta mpaka leo,na vile ninavyojulikana ni mtakatifu,sitaki hata kuonana nae!

Kisa kingine,hiyo nilikuwa nchart na jamaa yangu tunafanya kazi pamoja,sasa tulikuwa tunachart ishu za kazini tukimpaka boss wetu ambae ni mwanamke!basi bhana bila kutegemea shetani nae sijui huwa hana kazi za kufanyasi nikajisahau kwenye kureply si nikaisend kwa boss badala ya kuituma kwa jamaa!!siwez kusahau siku ile yaani njaa na tumbo la kuhara vilinikamata kwa mpigo!!japo yaliisha ila du!sitaki kumbuka!!
Vipi wewe ilikuwaje?
Acha kuchatchat ovyo piga siku ukishajigundua unautopolo kichwani
 
Mimi nimewahi kukosea ila nilinufaika vizuri na makosa yangu. Nilikuwa nachati na watu wawili kwa wakati mmoja huku mmojawapo nikiwa namtongoza. Kuna muda nilijibu kuwa "ujue lazima nikwambie ukweli, nakupenda tok zamani ila tatizo boss'' nikaituma kwa asiye husika. Akajibu utakuwa umeshakunywa kama kawaida yako, uniambie asubuhi kazini kama kweli unamaanisha.
 
Amna ata mmoja aliye wahi tuma kwa Baba mkwe au Mama mkwe acha ni kaye kimya🙆 mshikaji wangu aliwahi tuma kwa Baba askofu
 
Back
Top Bottom