[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] dah ingawa ni chai nimecheka sanaHiyo ya picha nakumbuka miaka hiyoo whatsapp bado,tunachat tu facebook,kuna binti alikuwa anasoma Arusha,hatujawahi kuonana ila kama ujuavyo mambo ya fb mnakuwa wapenzi bila hata kujuana!basi nkamuomba bi dada anitumie jitumbua!bhana weee!dada hajui namna ya kuituma inbox,si akaiweka pale kwenye wall yake!!!mi niingie nichek,nakuta kitu kiko public!!nikampigia chap!dada hajui kufuta!eti akalog out kwamba hawataona[emoji23]!yaan na mapenz yalikufa siku ile ile!!
Aisee ushamba mzigo.Hiyo ya picha nakumbuka miaka hiyoo whatsapp bado,tunachat tu facebook,kuna binti alikuwa anasoma Arusha,hatujawahi kuonana ila kama ujuavyo mambo ya fb mnakuwa wapenzi bila hata kujuana!basi nkamuomba bi dada anitumie jitumbua!bhana weee!dada hajui namna ya kuituma inbox,si akaiweka pale kwenye wall yake!!!mi niingie nichek,nakuta kitu kiko public!!nikampigia chap!dada hajui kufuta!eti akalog out kwamba hawataona[emoji23]!yaan na mapenz yalikufa siku ile ile!!
Shetani alikosa kazi ya kufanya ndiomaana Chidy akakosea kuituma...[emoji23][emoji23][emoji23]Ile porn ya Chid Gwajx alikuwa anatuma kwa nani
Babe....[emoji41][emoji41][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] dah ingawa ni chai nimecheka sana
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Nileteeeni tumbuaaaaaaaaaaaaaHiyo ya picha nakumbuka miaka hiyoo whatsapp bado,tunachat tu facebook,kuna binti alikuwa anasoma Arusha,hatujawahi kuonana ila kama ujuavyo mambo ya fb mnakuwa wapenzi bila hata kujuana!basi nkamuomba bi dada anitumie jitumbua!bhana weee!dada hajui namna ya kuituma inbox,si akaiweka pale kwenye wall yake!!!mi niingie nichek,nakuta kitu kiko public!!nikampigia chap!dada hajui kufuta!eti akalog out kwamba hawataona[emoji23]!yaan na mapenz yalikufa siku ile ile!!
Babe chai imekutosha au nikuongezee chapati[emoji41][emoji41]Babe....[emoji41][emoji41]
Yatosha babe, minipo msibani ujue..Babe chai imekutosha au nikuongezee chapati[emoji41][emoji41]
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Swahiba wa wapi babe... Wa tibisii?Yatosha babe, minipo msibani ujue..
Tumempoteza swahiba.
Yeah, kijana nilimfaham sikuzile....
Ooh pole babeYeah, kijana nilimfaham sikuzile....
Asante babe, rambirambi napokea bado haujachelewa kunitumia...๐ข
Rambirambi kata kwenye ile hela ya kusukia uliyosema utanitumia [emoji41]Asante babe, rambirambi napokea bado haujachelewa kunitumia...[emoji22]
๐๐๐๐Rambirambi kata kwenye ile hela ya kusukia uliyosema utanitumia [emoji41]
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] dah ingawa ni chai nimecheka sana
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]Kitambo hicho kidgo tunatumia visimu vidgo plus wazaz hawataki umiliki simu wakiamin ni uhuni na unaweza kujihusisha na mambo ya ajabu
Nachat na mshikaji kuhusu dem aliyemfutialia kwa kipindi kirefu mara paap text ya Mshua "kazi niliyokupa umemaliza" na nyingine kutoka kwa mdau "oyaa yule demu kakubali ila kwa mbinde mnoo"
Kiwewe cha kujibu namtumia mshua text " Msnge msumbufu ww" na mshikaji namtumia " ndio nimemaliza"
Zile ndo zilikuwa text zangu za mwisho kumilik simu ile niliyopewa
๐๐๐๐๐Mimi niliachana na demu wangu sabb alikosea kutuma message baada ya kwenda kwa mchepuko wake ikaja kwangu, alafu mala nyingi hii inatokea pale unapojibu message za kwenye notifications bar
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app