Umewahi Kukaa sehemu ukawa Unapiga Story na Mungu? Fanya hivyo kwa njia hii.

Mungu akubariki sana akajaze vikombe vyako mpka vifurike,honestly you made my day
 
Ya kwamba Mungu anapiga story au Mungu anacheka au ni mwizi wa mbao ndio maana akatundikwa kwenye zile mbao mbili sijui ...
Nafahamu jambo moja tu Nalo ni kwamba "Mungu ni roho na wanaomwabudu imewapasa wamwabudu katika roho na kweli"
 
C ungeandika tu mpaka uquote Uzi wote unatuchosha halafu ulichoandika hakieleweki
Nilifanya hivyo kuyapa thamani maneno hayo yaliyokuwa yameandikwa na mtoa maada na ndiyo maana nikayakoti kwa ujumla wake.
 
Wanakosa maarifa
 
Si, kuna namba yake ya simu watu wanampigia kama yule mchungaji
 
Una upofu wa roho
 
Guru Master asante sana umeongea mambo mazuri sana ya kutukumbusha mamlaka na nguvu tulizo nazo wanadamu ila shetani ni mmbaya sana hapendi tujue mambo kama hayo maana yanatuongezea confidence na kutusogeza mbele za Mungu.
Kuongea na Mungu inawezekana kabisa ila kwa kufuata kanuni hizi fulanifulani sio kwa kukurupuka mfano:
1: Ingia kwenye toba wasamehe wote waliokukosea wale uliowabeba moyoni wote wasamehe no matter wamekufanyia nini
2:Omba toba kwa ajili yako wewe binafsi, omba toba kwa ajili ya nduguzo, watumishi, taifa ,nk
3.Mkaribishe Roho mtakatifu awepamoja nawe na kukusaidia kuomba nawe
4:Mungu wetu ni Mungu wa sifa,msifu Mungu kwa majina na ukuu wake wote.
5.Kemea maroho machafu na nguvu za giza
6: Hapa sasa ulipo fikia unaweza anza kusikia Mungu akisema na wewe na unaweza kuanza kumsikiliza na kupeleka mahitaji yako na mkaanza kusemezana sasa mkumbushe Mungu ahadi zake kwetu kwa kutumia neno lake kama Yer.33.3 alisema niiite nami nitakuitikia ..... unamkumsha mistari kadhaa ya biblia na kumkumbusha ahadi zake nyingi alizotuahidi aseee unamuona kabisa Mungu huyu, mbarikiwe sana
 
moja ya tatizo kubwa tulilo nalo binadamu ni kusema haiwezekani. inawezekana wewe ukawa huamini hilo. wafanya vyema ni haki yako. Mungu ni mwanademokrasia aliyekubuhu kwa binadamu. na ndo maana anaruhusu wanaomtukana na kumkebehi nao wavute pumzi hii hii na jua na mvua vyote wanapata na wengine. Yesu mwenyewe walimwona kachanganyikiwa, ana mapepo. mambo aliyozungumza kwa upeo wao ilikuwa ngumu kuyaelewa. na solution ikawa ni moja tu KUMUUA YESU. yesu alikuwa haeleweki. SASA IKIWA WALIUFANYIA VILE MTI MBICHI, ITAKUAJE KWA SISI MITI MIKAVU?
 
Mental masturbation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…