Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,210
- 1,353
Bira shaka atakuwa amekuelewa mkuu1. Mungu
ni nishati chanya inayopotikana kwenye kila kitu , ila kiuhalisia kama kiumbe hakuna Mungu.
2 .shetani
ni nishati hasi inayopatikana kwenye kila kitu , ikishirikiana na chanya ili kuleta balance kwenye kila hali.
3.Roho.
ni mnyumbuliko wa nishati kwenye kila maumbile ili kuleta nguvu na utashi katika maumbile husika.
4.Dini,
ni utaratibu na mfumo wa tamaduni fulani ,zilizowekwa ili kufanya mamlaka za kiserikali kuongoza jamii ,katika hofu fulani ili kutimiza matakwa za kisheria katika mawanda ya chini ya kiutambuzi , katika mfumo wa HOFU , AHADI NA KIFUNGO.
5. mwanadamu .
ni kiumbe alie jipambanua kwamba yeye ana utashi , maarifa, na mtawala kwa viumbe wote , katika mifumo ya kiserikali , kidini na nyanja mbalimbali ,bila kujali kuwa hata nyuki wana mifumo yao ya kuendesha maisha iliyo bora na ufanisi wa hali ya juu kabisa kuzidi hata binadamu.
6 Moto .
ni moja wapo ya nyenzo kuu ya Dini ili kuwezo kumtiisha binadamu mwenye utambuzi wa chini kutii mamlaka na sheria za kijamii.
7. Mbinguni.
pia ni nyenzo kubwa kabisa ya dini , kama Ahadi ili kuweza kumtiisha binadamu mwenye utambuzi wa chini ili kutii mamlaka na sheria za kijamii .
8 kifo.
Ni mwisho wa kiumbe chochote kile ,kuishi katika maumbile ya kimwili , katika kipindi fulani , ambapo viumbe hivi vikishafika mwisho katika maumbile ya kimwili vinaendeleza uhali katika mfumo wa nishati kwenye maumbile mengne, mchakato huu ni endelevu na unategemeana , uhai na kifo ndio maisha yenyewe .
9.Neno
"imani" linaweza kuwa na maana kadhaa kulingana na muktadha wake, lakini kwa ujumla, inaweza kumaanisha:
a Imani ya Kidini: Imani katika Mungu au nguvu za kiroho. Kwa mfano, imani ya Kikristo au ya Kiislamu.
b. Imani ya Kibinafsi: Kuamini kitu bila ushahidi wa moja kwa moja au bila kuona. Inaweza kumaanisha kuwa na imani katika uwezo wa mtu au jambo fulani.
c. Kujiamini: Kuwa na imani katika uwezo wako mwenyewe au uwezo wa wengine.
d Kuaminika: Kusema kuwa kitu ni cha kuaminika au kinasadikika.
Ili kuelewa maana kamili ya "imani" katika muktadha maalum, unahitaji kuzingatia jinsi neno hilo linavyotumiwa katika sentensi au muktadha husika.
1o Jehanam.
Neno "Jehanam" lina asili yake katika lugha ya Kiarabu. Katika lugha ya Kiarabu, "Jahannam" (جهنم) linamaanisha "Jehanamu" au "kuzimu." Neno hili linatumika katika lugha ya Kiarabu, pamoja na katika dini ya Kiislamu, kuelezea mahali pa adhabu kali ambapo waumini waovu na wenye dhambi wanaweza kujikuta baada ya kifo, kulingana na imani ya Kiislamu.
Jina "Jahannam" linaweza kufuatiliwa katika lugha ya Kiarabu na linahusiana na mifumo ya dini za Kiislamu na Kiaramu. Ni muhimu katika mafundisho ya dini ya Kiislamu kuhusu adhabu na malipo katika maisha ya baada ya kifo.
Pia ni nyenzo kuu katika dini kama KIFUNGO ili kufanya watu wenye utambuzi wa hali ya chini kufuata na kutii maamlaka ya jamii husika.