OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,139
- 12,915
Mapenzi sio kitu kizuri sio kwenye ekimu sio kwenye biashara yaani hovyoNisipowatumia nyinyi Kama darasa hakika sitakuja kuweka historia ya hivyo ktk huu uzi..😁
Pole mkuu ndo utafute wa maisha muyajenge.Mapenzi sio kitu kizuri sio kwenye ekimu sio kwenye biashara yaani hovyo
Yameniharibia maisha
Inategemea na akili yako[emoji4]Cha ajabu mke hafilisi, michepuko imefilisi wazee kiuchumi na kiakili.
Wadau tuanze kujifunza hapahapa huko mbele tusifanye makosa tena,Hiyo ndio raha ya mapenzi sasa
Kiuno mbona husemi au mnaendaga kuangaliana tu?Cha ajabu mke hafilisi, michepuko imefilisi wazee kiuchumi na kiakili.