Basi ukute wewe na kudekaSikuwahi kabisa kupigwa na mzazi.
Basi ukute wewe na kudeka
Una bahati tena washukuru wazazi/walezi wako wamekulelea kizunguFar from it.
mama alikua anapenda kunifinya mapajani aisee!!! Anakukamata mnakaa wote chini na kukutandaza miguu kufinya mapajaaisee mimi mama angu ni mtaaramu wa kufinya
akikama steki za kwenye tumbo utaomba msaada mpaka kwa shetani
alafu unapigwa kipigo iko kama utoi machozi utajutaaa.... iyo inaitwa machozi yako ndio msamaha wako
Nakupata sweety wangu...Mimi nimeishi maisha ya chini ya chini. Namaanisha ukitoka maisha ya chini ndio yanafuata maisha yetu. No video. No Radio.
So nina Experience ya vitu vingi sana hasa utotoni no kudekezwa. Ngoja nisome kwanza comments then namm nitupie kipigo heavy changu nilichopata toka kwa Maza wadogo na faza wadogo
Hahaa dear paprieNakupata sweety wangu...
Kisicho kuua kinakufanya uwe ngangari zaidi!!!