Umewahi kuchangia damu salama?

Umewahi kuchangia damu salama?

Wakati nipo shule walikuja tukachangia sasa kuna mwenzetu akaugua akalazwa na akahitaji aongezewe cha ajabu tukaambiwa tununue damu tangia siku ile sijachangia tena damu!!!!
 
Kila mwaka huwa nachangia mara mbili lakini nasikitika sana kusikia damu ikiuzwa wakati tunaitoa bure.
 
Back
Top Bottom