Uchangiaji wa damu kwa ajili ya kuwasaidia wagojwa ni huduma endekevu je umewahi kuchangia?
Na kama hujawahi kuchangia ni kwa nini?
Je serikali ingetangaza kwamba ukichangia damu unalipwa pesa, walau 100,000/ unadhani damu ingekuwa adimu?View attachment 392686
Duh!
we jamaa, umetisha, usiridhike kuishi bila kujua damu yako ikoje!
wakati mwingine unakuta damu ya mgonjwa wako haiendani na damu iliyoko stoo ya damu kimagroup, so inabidi ndugu aombwe kutoa.kunakitu kinakera sana,unaenda na mgonjwa hospital unaambiwa damu ipo ila unatakiwa uchangie damu ili mgonjwa wako apewe damu. mara nyingi najiuliza damu tunayochangia inaenda wap? ushauri wangu kwa wahusika tusiwanyime wagonjwa damu kwa kigezo cha kutochangia damu...Mimi nshatoa damu na nawashauri watu tutoe damu ili kuokoa maisha ya wenzetu na nyie manesi mgonjwa akija mumpe dam bila masharti
kanuni bora ya hisabati ni "Let" sio "assume"!
!
natumia kanuni za hisabati naashume
kanuni bora ya hisabati ni "Let" sio "assume"
So let's say Threesixteen Himself blood is safe.