Umewafanya nini hadi wamekuzingira hivi?

Umewafanya nini hadi wamekuzingira hivi?

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,445
Reaction score
8,418
54vuip.jpg
 
Ulaya kawaida sana hiyo.........

Pigeon-Man-2.jpg
Turkey kuna sehemu wapo kibao kama hivyo. Na watu wapo hapo wanauza cereals kama mchele n.k. Ukifika hapo unanunua unawapa hao viumbe. Watu wanatengeneza hela na wewe unakuwa umefanya utalii.
 
Back
Top Bottom