Umevaaje

Kwa mambo mabaya

Bado hapo mwenye makosa ni wewe. Kwa nini ugawe gawe namba kwa wanaume?na kwa nini upige stori na wanaume usiku? Angalia kuna wanaume wanamaneno matamu sana ukimpa nafasi ya kumsikiliza tu utamegwa . Serious!!!
Na una hatari sana unaongea na wanaume usiku hadi kufikia hatua ya kuulizwa kua umevaa nini na tena sio mwanaume mmoja ni wanaume according to your thread.
In short kama una BF ana kazi sana. Kama ningekuwa mimi.. Ningewalk away.
 
Ungejutia kwa uamuzi wako
 

Plus mi sidhan kama MTU sio boy wako halaf from no WHR akawa anakuuliza au much at romantic na ww hakunaga ts either way ww(price) ndo utakua umeintertain
 

Naamini tatizo hapa ni umri na experience katika haya mambo, lakini ni swali la kawaida sana hata ukimjibu hapa sasa atakuwa amekuathiri nini dada yangu.
hili ni swali ambalo nauliza sana ila ni kwa girl wangu tu! japokuwa wewe umesema sio boy wako ila anakuuliza mchukulie poa tu mdanganye tu nimevaa kanzu au overall kila anapouliza mwisho wa siku anaacha tu!
 

Kweli mazungumzo mengine yanakera, mtu anaongea nasty mpaka unashangaa, mtu, hakuhusu, mnachat mambo ya kawaida, ghafla anaanza umevaaje, hapo ulipo umekaa na nani, umekaa kwenye kiti au kitandani n.k, sasa ukute huyo mtu ni Mhindi, Mzungu au Mwarabu, utakoma!, wanaongea upuuzi mpaka basi, wengi wanaochat na watu wasiowaju/ wasio na uhusiano nao wa kimapenzi, wanakuwaga ni vicheche kinoma
 
Ungejutia kwa uamuzi wako

Nisingejuta hata kidogo. Napenda sana principles na naziheshim kitendo cha kugawa gawa namba kwa wanaume. Na kuanza kuongea nao usiku mavazi uliyovaa ni kigezo tosha cha kuniambia nikae pembeni
 

Ni jinsi ulivyo wewe na unavyoishi kwa mazoe naho wanokupigia simu muda huo wa usiku na kukuuliza maswali kama hayo, so nawe yapasa ujiulize kwa nini viumbe hawa wanakuwa na mazoe ya kipuuzi namna hii nawe ile kama ulivyosema wewe sio msichana wao, ukipata jibu chukua hatua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…