Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

🀣🀣🀣🀣 Mkitoka hapo baada ya mwezi nianze kukuletea udongo na tuembe tubichi
🀣🀣🀣🀣 hivi kwanini huwa wanatamani kula hivi vitu?
 
πŸ˜‚ utalamba yote hiyo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ipo km biscuit
Kuna sister alijifungua sasa akawa na shida maziwa hayatoki, bas tukawa tunampa mtoto hiyo cerelac weee!! Tunasaidizana matumizi!!
Nilikuwa nailamba muda wote 🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ipo km biscuit
Kuna sister alijifungua sasa akawa na shida maziwa hayatoki, bas tukawa tunampa mtoto hiyo cerelac weee!! Tunasaidizana matumizi!!
Nilikuwa nailamba muda wote 🀣🀣🀣
🀣🀣🀣 mimi ndio ilikuwa kazi yangu hiyo
 
Alikomeshe haswaaa!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Siku nyingine lisirudie kukimbia kipindi
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Utaniua mbavu zangu wewe
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…