Hakika utatisha sana, afu hapo sikutaka kuelezea vingine, ingeonekana nakudharau.Kuanzia kesho naanza kuvaa mabwanga😂
Tuachane na hayo, em sindikiza na vocha nipate nguvu ya kuweka filter ktk picha, nipost hapa kwa uzi.Sijambo... Kwani umeona nini.. Duh!
😂😂😂😂 ntumie bhana, niende sawa na uzi.🤣hunaga kazi za hasara
Nasubiri Gran pah.Sswaaaa
Mapema yote hii upo kwenye viti virefu masta
Hata sijui, mi nililetewa zawadi na ndugu yangu kutoka daslam mkuuHivi viatu vinauzwa wapi?
Nithibitishie hili mpendwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe sio under 18 . loh😂
Tayari mkuuWee pasuka tyuuh, mbna kawaida. 😂😂😂😂