Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Pitiku na chainizi [emoji39][emoji39][emoji39]
Nimekumbuka home. Ngoja leo nitoe vitu vya kwetuu.
Nakwambia pitiku imenoga hatar
Umekumbuka mwez wa 2 kipind Cha mvua ndo mboga kuu mwendo wa pitiku tu😀😀
 
😀😀nimemkumbuka jirani yetu kipind Cha mvua mboga za majani anachuma mchicha bwas,majani ya maboga,majani ya kunde akipata kunde mbili Tatu akiwa Yan bwana wee hiyo combination hatari 😀😀
cocastic
 
[emoji3][emoji3]nimemkumbuka jirani yetu kipind Cha mvua mboga za majani anachuma mchicha bwas,majani ya maboga,majani ya kunde akipata kunde mbili Tatu akiwa Yan bwana wee hiyo combination hatari [emoji3][emoji3]
cocastic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikua anatengeneza libenani, tena kunde ziwee mbaazi aaah wee najilamba had vidoleee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…