Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Capture_240626_114214_sh_20240714_194651.png
 
😍😍😍 Nianze kujibu pm zako sasa, huu ndio ugonjwa wangu.!!
Kumbe Manyanza ni muenchamu na husemi?? Awwww 🥰🥰🥰
Tall, dark, handsome na hii nyingine slim ndio yenyewe kabisaa.!!
Pm zako nazijibu 🤣
Niku PM au sio??? 😂 😂 😂
 
Wakat kanikimbia Yani mwambie yeye sio wa kunifanyia hivo 😀
Hajakukimbia yupo karudi jana, leo nilikuwa naye nikamwambia demu wako anakusalimia.
Akauliza nani? Nikamwambia si Aaliyah 😹😹
Acha alalamike kwann namrusha roho halafu nambania kumkutanisha na huyo Aaliyah.!!

Cazee yuko serious anakupenda kweli sema km yupo humu atacheka sana akijua dada yake ni Labella 😂😂😂😂
 
[emoji7][emoji7][emoji7] Nianze kujibu pm zako sasa, huu ndio ugonjwa wangu.!!
Kumbe Manyanza ni muenchamu na husemi?? Awwww [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Tall, dark, handsome na hii nyingine slim ndio yenyewe kabisaa.!!
Pm zako nazijibu [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom