ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 16,787
- 61,256
Sasa kwenye sherehe inatakiwa utinge suti na moka kaliiSuti ni kitu kinanishindaga mimi nimezea t-shirt na jeans 👖 tu.😁😁
Na hiyo rangi ya chungwa lazima uwake

Sasa kwenye sherehe inatakiwa utinge suti na moka kaliiSuti ni kitu kinanishindaga mimi nimezea t-shirt na jeans 👖 tu.😁😁

Nitashindwa kutembea mimi napiga tshit jeans na buti kubwa kama mgambo😁😁Sasa kwenye sherehe inatakiwa utinge suti na moka kalii
Na hiyo rangi ya chungwa lazima uwake![]()
Basi kila mtu ataenda kivyake tutakutana kwenye shereheNitashindwa kutembea mimi napiga tshit jeans na buti kubwa kama mgambo😁😁
sio sana si nimekunja mguu ndomana
ila pampu na gololi ziko salama kabisa![]()



bora ziwe salamaa, ndo uhai wa waja wa baadae.Basi usijali nitavaa suti 😊Basi kila mtu ataenda kivyake tutakutana kwenye sherehe
Subiri nifanye mazoezi ya kutoa kitambi then nije kuchit chatBasi usijali nitavaa suti 😊
Kwani kinauma ukitoe?Subiri nifanye mazoezi ya kutoa kitambi then nije kuchit chat
Mwakani nataka kugombea kua miss Temeke then niwe Miss Tz ili nishinde natakiwa kutoa kitambiKwani kinauma ukitoe?
Muda wa kuamka ndio huu sasa 🙂Subiri nikiamka jana nilichelewa kulala.
Uzima upo lakini Daktari?
☺️Tutaenda woteBasi usijali nitavaa suti 😊
Wewe si hautaki buti? Nimeshayauza uza.☺️Tutaenda wote
Niliona mabuti yameenda wapi
Ya kizee yale! Hata bure sichukuiWewe si hautaki buti? Nimeshayauza uza.
Akhsante kwa Tag MkuuWinnone Darlin Ms eyes Saint Anne Tayana-wog Dr Lizzy madam Antonnia Dr. Mariposa Dejane financial services trudie am craving to see you again. Kujeni mtupie vitu uku
Ok endelea kuwepo mtoto wa shangazNipo cazeee!!
Usitoke sasa😂😂😂 Nipo hapa
Nimekaa mbao ndefu nasubiriUsitoke sasa
Umeamka vizuri kweli 👑 😍
Cute mashallah
Wewe je???Cute mashallah