Sawa tuma ukiwa umevaaNi mimi mum kwann huamini?
Nimekonda kama mfupa acha tu 😂🤣
Shem kama shem
Uliza vizuriInaombwaje?
Ebu tusimulie basi tuombeUliza vizuri
Kwani hata wewe hujui kuomba??Ebu tusimulie basi tuombe
Shem kama shem
MambozShem kama shem
PoaMamboz
Mnaanzaga na shem ili kupima upepo 😂😂😂Poa
Unaendeleaje?
😂😂😂Kaka ako anavyopenda mishangazi! Jf mwenye umbo la mshangazi ni mimi tu
Ni Shem kweliMnaanzaga na shem ili kupima upepo 😂😂😂
Kwa nani?Ni Shem kweli
Kuna watoto wa shangaz nime miss humu,,WakujePoa
Unaendeleaje?
😂😂😂😂Kwa wifiKwa nani?