Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,971
- 26,952
Leo tutakubana tutakusumbua😊😊Picha yangu mnayo niacheni nipumue
Leo tutakubana tutakusumbua😊😊Picha yangu mnayo niacheni nipumue
Sina cha kuogopa 😂😂😂Tobaaaaa! We huogopii kupita naked?😂
Tulia!Pita basi ww chibonge wa uongo

Ila mkuu wewe ni handsome una asili ya kipembaSina cha kuogopa 😂😂😂
Leo sitaki Leo😊😊Tulia!![]()
Tupia na wwIla mkuu wewe ni handsome una asili ya kipemba
Weee mbona wengine watu wamejaza gallery ya maforo yetru na hatujareee hata tunatupia kam kauwaaaa ndio unataka kusemaje kwani 😁???Picha yangu mnayo niacheni nipumue
Wakati nilitupia haukuwepo, nikitupia nitakutagTupia na ww
Subutuuuuuuu.......Weee! Yule ndiye mimi
Mimi na picha za kudownload wapi na wapi?![]()
😂😂😂Haya umeanza kuchangamka,Ukisikia mzungu wa roho basi ujue ndiye Analyse![]()
😂😂😂😂Haya kumekucha.Ukiselfika nitag...niliambiwa una mwanya
Watruu na watruuuu waoooooo!😛🤭🤭🤭Ukisikia mzungu wa roho basi ujue ndiye Analyse![]()
Wewe selfika nikuone bhana....kabla Uzi haujafungwa, maana sijui mnawatibuaga nini mods😂😂😂😂Haya kumekucha.
Ukitaka niselfike mwambie ephen aanze😊😊😊